Tegeta Escrow: Waliochota kwenye Masandarusi watajwa, gari lililotumika kubeba ni la Ikulu

Hapa ndipo penyewe,heko kwa gazeti la JAMUHURI. Kitu kimoja tu hapo hamjakisema wazi ALBERT MALWA NI MKWE WA KIKWETE, anamuoa binti yake Kikwete ambaye ni daktari, wanaishi Londoni Uingereza.

Huyu jamaa ndie aliechora mchongo wa kumleta Seth ili wapige dili....
 
Hiyo gari itafutwe na alieyeidhinisha na walioitumia wote wakamatwe
 
Rais Magufuli ataamua, kesi hii hashindi bila ya kumubuluza Kikwete. Inawezekana kuibadilisha Katiba na kuondoa kinga ya Rais. Sasa ni kati ya watu wachache na Watanzania milioni 50. Tanzania ni yetu wote.
Hii kinga tupewe tafsiri nzuri na wanasheria. Hawa wakuu wa nchi wanaoshitakiwa the Hague huwa hawana hizo kinga? Kama kinga zipo kwa mahakama za humu ndani basi kesi zinazowahusisha zihamishiwe kwenye mahakama za kimataifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwakyembe baada ya kujua kuwa kwa ukata huu wananchi wanaonunua magazeti ni wachache basi akakataza redio kusoma contents za habari kwa undani bali vichwa tuu. Redio inasikilizwa na wengi, yote ni kuficha mambo kama haya.
Genge la wezi na wanyang'anyi. Lazima kulinda maslahi yao, iko siku watatoa hesabu zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wavunaji wa mgawo
Zikikaa upande wako unapiga, hizi ni unexpected risks.
Wengi tu wali-, wana-, wata-babua hii migawo Haramu. Kuna haja ya kureview baadhi ya government official documents zinazotoa loop-hole.
Vinginevyo hizi ni isidi-telemundo
Mkuu ccm hawataki? Hivi wewe umewahi kujiuliza why katiba mpya ilishindikana
 
Wavunaji wa mgawo
Zikikaa upande wako unapiga, hizi ni unexpected risks.
Wengi tu wali-, wana-, wata-babua hii migawo Haramu. Kuna haja ya kureview baadhi ya government official documents zinazotoa loop-hole.
Vinginevyo hizi ni isidi-telemundo
Mkuu ccm hawataki? Hivi wewe umewahi kujiuliza why katiba mpya ilishindikana
 
Ngoja tuone hii movie.Huenda nayo ikaishia kusubiri uchunguzi kama zinavyoisha zingine.
Siasa za matukio ndio zinatuyumbisha nchi hii. Ukitaka kuzima moto wa makinikia unalianzisha la escrow, ukiona escrow inataka kufagia watu muhimu unarudisha makinikia ulingoni. Watanzania tunafuata upepo tu wa siasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani wa kumwamini kufanikisha urejeshaji wa fedha hizo?

tunajua uhalali wa kuchukua fedha haupo. Na kuliwa zingine zimeshaliwa... UZALENDO 0O KABISA
 
Chama kinachoficha wezi na waporaji hakiwezi kukwepa lawama.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu yangu kila chama kina mafisadi. Hakuna chama chenye uafadhali. Vita ya Mafisadi iwe nje ya vyama. Katika CCM wapo, Chadema wamejaa, ACT hao akina zito ni wapiga dili (tumekuwa naye akiwa hohehae na anatubomu kwa sasa baada ya kuingia bungeni akaendesha hammer, kweli hapo hakuna ufisadi. Vijana mnadanganywa tu, niendelee?
 

Similar Discussions

14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom