Tegeta Escrow: Waliochota kwenye Masandarusi watajwa, gari lililotumika kubeba ni la Ikulu

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,818
5,007
Yumo Prosper Mbene na Shaban Gurumo.

Haya sasa mambo yanazidi kuwa mambo. Huyu Mkuu Wa ikulu Wa wakati ule anaponaje kwa mfano.

Ila samahanini, nilikuwa nimesahau hatufukui makaburi
FullSizeRender_14%282%29-1.jpg

jam.jpg
jam2.jpg
jam3.jpg


=====
Ikumbukwe, Ikulu ilimtetea Prosper Mbena:
Mke wa Prosper Mbena (wa Ikulu) Alichukua TZS 2 Billion za ESCROW
 
Atakua yule mshikaji mnadhimu au mnikulu aliestaafu ndie alitoa gari.

Hili la kupambana na rushwa Magufuli baba tunyooshe. Umeonyesha kua uwezo na nia unazo za kupambana na wezi.

Kama hizi hela hazikua za wizi kwa nini zilichukuliwa kwenye masandarusi na mabegi. Hela halali ukazichukue kwa kujificha?

Baba tunyooshe.
 
Vipi TRA yakiletwa masandarusi hayo ya hela kama alivyofanya Ngereja mtayakana kama wenzenu TRL na vichwa vya treni.pale bandarini. Nyie sandarusi holder fanyeni kama kwenye makinikia nyie mpelekeeni jpm huko chato atatangaza kufungua bakuli la marejesho
 

Similar Discussions

14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom