Tegeta Escrow: Waliochota kwenye Masandarusi watajwa, gari lililotumika kubeba ni la Ikulu

Toka lini gazeti la kufungia vitumbua ndio likawa ushahidi,Watanzania tunazidi kuwa watu wa hovyo hovyo
 
Kama ikulu inahusushwa kwenye huu ufisadi ni kwanini kikwete anaachwa?

sent from tekno ya shilingi elfu saba na mia tano.
 
Yumo Prosper Mbene na Shaban Gurumo.

Haya sasa mambo yanazidi kuwa mambo. Huyu Mkuu Wa ikulu Wa wakati ule anaponaje kwa mfano.

Ila samahanini, nilikuwa nimesahau hatufukui makaburi
View attachment 544873
View attachment 545346 View attachment 545339 View attachment 545338

=====
Ikumbukwe, Ikulu ilimtetea Prosper Mbena:
Mke wa Prosper Mbena (wa Ikulu) Alichukua TZS 2 Billion za ESCROW

Hapa Rais Kikwete hawezi kujitowa kwa wizi huu wa TEGETA escrow. Ingawaje Viongozi wetu wanatuita wajinga, lakini kwa hili hata kpofu, kiziwi, hawezi kumtowa Rais kwa hili jambo. Kuiokowa Tanzania na watu wake ni kutowa kinga ya Rais. Rais wa Brazil amehukumiwa miaka tisa jela kwa kufuja Mali za uma. Wa South Korea yuko ndani kajifanya wazimu kama Singa singa anayesema anaumwa na tumbo ili apelekwe hospital, wa Kazi wamekataa akae huko huko. Watanzania wangependa the good looking former President na yeye akaungane na Singa Singa wapige mahesabu ya TEGETA Escrow pamoja. Watanzania sio wajinga kama Viongozi wetu wanavyofikilia. Rais Magufuli, asichaguwe kuwapa kinga, ndiyo walimusaidia kuchukuwa form na kumuchaguwa asimame kuwa Rais, lakini asisahau milioni 50 ya Watanzania waliodhurumiwa JE? akiwapa kinga anakuwa hana tofauti nao, na sijui kesi hii itafanikiwaje bila ya Kikwete. Rais
 


Angalia watu anaowaelewesha wako hoi, hawaelewi anavyosema, wala hawana ngumu za kumuhoji, Pamoja na HOTUBA yake, gali la ikulu lilikuwa linafanya nini? Kubeba pesa za TEGETA Escrow. Watanzania tumedanganywa vya kutosha. Na kama haya yote anayoyasema Kikwete ni ya ukweli, mbona Magufuli kawaweka chini ya ulinzi Singa Singa na nwenzie? Kikwete asikae kimya atuelezee ilikuwaje?
 
Mimi nachosangaa tu kuona Watanzania wakiwa na imani na ccm tena kutaka iendelee kuongoza baada ya miaka 50 ya kutufikisha hapa
Unapohusisha vyama kwenye wizi kama huu ndipo tunakosea! Hakuna wizi wa kichama bali individual. Uhusishwaji wa chama ni mbinu za mafisadi kujisafisha. Tuwe macho
 
Tulishasema hizi ni drama za jpm tu!
aanze kuwataja wale waliomo kwenye simba trust ndio tutamuona sio mpiga porojo!
ila masuala ya kusema eti fulani muacheni apumzike......

Haya ccm anandamaneni kumpongeza! kubafuuuu!!
Hujaona wammtaja marwa ambaye ni mkwe wa nani vile?
 
Hawezi. Wanasomaga content wakishaona hatari ni kubwa, wanamute. Wanachowexa kufanya kama Jamhuri wana info za ukweli, ni kuwaita na kuwatisha/kuwanyamanzisha.
Mwakyembe baada ya kujua kuwa kwa ukata huu wananchi wanaonunua magazeti ni wachache basi akakataza redio kusoma contents za habari kwa undani bali vichwa tuu. Redio inasikilizwa na wengi, yote ni kuficha mambo kama haya.
 
Angalia watu anaowaelewesha wako hoi, hawaelewi anavyosema, wala hawana ngumu za kumuhoji, Pamoja na HOTUBA yake, gali la ikulu lilikuwa linafanya nini? Kubeba pesa za TEGETA Escrow. Watanzania tumedanganywa vya kutosha. Na kama haya yote anayoyasema Kikwete ni ya ukweli, mbona Magufuli kawaweka chini ya ulinzi Singa Singa na nwenzie? Kikwete asikae kimya atuelezee ilikuwaje?
mama obama hakuna lolote litakaloelezwa ccm ni ileile..............
 
Kuna limit ya kiasi cha pesa unachoweza chukua kwa cash. Kikizidi lazima uchukulie bank ili kuacha record. Hawa hawakutaka kuacha record ndiyo maana wakachukulia kwenye mifuko. Tena siyo mto mmoja watu wengi wanaenda kuchukua pesa kwenye source moja kwa kutumia mifuko lazima watu wenye akili waone kuwa ni hoja ya msingi.
Kwani walichukua kiasi gani kwenye hiyo mifuko? Mimi naona watu wakiongelea mifuko kana kwamba ni dhambi mtu kuweka pesa yake kwenye mfuko.
 
Mimi nachosangaa tu kuona Watanzania wakiwa na imani na ccm tena kutaka iendelee kuongoza baada ya miaka 50 ya kutufikisha hapa
Ndio maana kati ya Watanzania wanne mmoja ni taahira huu utafiti hauna shaka, eti jana wakati Seth anaiba tuliambiwa haibi fedha ni zake leo walewale wanasema Seth aliiba, halafu tunawaita mashujaa kama si utaahira!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom