FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,819
Hv we ni lini utapata akili?
Sina huzipati nikiwa nazo jee?
Hv we ni lini utapata akili?
Porojo ndeeeefu, kwanini isiwe Suarez iwe Gyan?
Fikiri.
Kikwete alikuwa anawapa darsa.
Na darsa limewaingia, hamna hoja mmebaki kubwabwaja na kuhororoja, mambo ya msingi mnayaacha.
Ngoja niwape darsa la Kikwete kwa lugha mnayoielewa.
Pesa zilizokuwa escrow account: si za Umma za PAP.
Kutaifisha mitambo: Sahauni hilo hizi si enzi za Nyerere.
Bodi ya TANESCO: Hata kuliongelea na kulipendekeza ni ujinga kwani muda wake umekwisha. Tumeshachaguwa Mwenyekiti mpya.
Mikataba ya umeme: Kuiptia tu, tutaipitia hakuna shaka, iko minne tu. PAP, Symbion, Aggreko na Songas.
Tume ya majaji - Hilo si langu tunawaachia wenyewe mahakama waamuwe.
AG: Hana makosa kaondoka kiume, hatuna haja ya kumjadili zaidi.
Tibaijuka - hakufata maadili, tumem fire.
Mhongo - Uchunguzi unaendelea, hatuhukumu bila kuwa na ushahidi kamili.
Maswi - Watajuwa kamati sijui tume ya maadili, sisi hatumfukuzi kazi.
Wenyeviti wa kamati za bunge - Hilo watajuwa wenyewe bungeni huko, si letu.
Stanbic: Uchunuzi utafanyika kubaini kama kweli wanasafisha fedha chafu, hatuwezi kuhukumu tu, kuna wenye kazi zao.
Rushwa: Tutaiongezea nguvu TAKUKURU, vipi mna zaidi?
Kodi: Aaaah toka lini mnunuaji akalipa Capital gains tax? haimuhusu Habinder hiyo kabisa. Ruge kalipwa na yeye kalipa kodi, mnataka nini zaidi?
Hongereni sana PAC kwa kazi ya kijinga na maazimio yenu yote yalipigwa chini na mlishindwa kuyatetea maazimio yenu mpaka bunge likaunda kamati nyingine ya dharura, hongera sana kamati mpya ya mama Malecela kwa kuwa save akina Zitto.
Kuna lingine zaidi?
We mama siukae pembeni..!!???
Yani umeshupaa kutetea lakini mwisho wa siku utabaki peke yako na utaumbuka kwa aibu..
Maneno matupu hayavunji mfupa .Porojo ndeeeefu, kwanini isiwe Suarez iwe Gyan?
Fikiri.
Tanzania watu tutaanza kujitoa mhanga kama JK anafikiri kama unavyofikiri..
Ongeza na hii mkuu.Maneno matupu hayavunji mfupa .
Siyo jipya hilo. Njoo na jipya ambalo halijulikani, hauna ubunifu?
Hayo uliyosoma ndio majibu ya yote kama ilivyo. Nini hujakipenda?
Wenzio wanaweka picha wewe unaweka katuni !Ongeza na hii mkuu.
Dhuruma gani bana acha habari zako za uongo na kuzua pasipo hoja ya maana.Hivi dada ni Mungu yupi unayemuabudu ambaye anakubali dhuluma ?
Nikuwekee na hii.Wenzio wanaweka picha wewe unaweka katuni !
Hivi dada ni Mungu yupi unayemuabudu ambaye anakubali dhuluma ?