This is the best analysis on this scandal!.
Laiti washauri wa ikulu wangekuwa wanapigiwa kura ili kupata nafasi ya kufanya kazi pale ktk "white house" yetu, absolutely yangu na ya mke wangu ungeipata!!
Lakini kwa upande mwingine tena, likely huyu bwana Jakaya Kikwete (Rais wetu kwa bahati mbaya sana) matatizo aliyonayo si ya washauri na kukosa ushauri bali ni matatizo yake binafsi tu.
Binafsi naamini huyu ndugu yetu aliingia katika ofisi hiyo nyeti na ya juu ya nchi yetu si ili atumike kwa manufaa ya nchi hii na wananchi wake bali kwa manufaa yake binafsi, familia yake na rafiki zake. Ikulu yetu imeshanajisiwa kwa kiwango cha juu sana kwa sasa na heshima yetu kama taifa imepotea na watanzania wote tunaonekana mazuzu kwa sbb ya mtu huyu!!
Skendo ya Tegeta Escrow Account ina justify haya kwamba tunaongozwa na Rais bogus, mjanja mjanja (ujanja wa kiwiziwizi) na mhuni kabisa aliyefikia kiwango cha juu kabisa cha udanganyifu na ulaghai kwa wananchi wake mwenyewe anaofikiri anawaongoza!!.
Hii kashfa afanye afanyalo haitamwacha salama this time kama alivyofanya mwaka 2008 wakati wa skendo ya kampuni feki ya kufua umeme ya Richmond ambapo baadhi ya wenzake ktk serikali yake waliamua kujitoa kafara kwa heshima yake na chama chake kinachoongoza serikali - CCM.
I thought as others too, that could be a lesson to him to learn, lakini mmmh jamaa ni kichwa maji!