Tegeta Escrow Account Scandal: Kumbe Masele alishawahi kufanya kazi STANBIC

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,372
2,375
Duh kweli kila shetani na mbuyu wake
attachment.php
 
Attachments

  • Screenshot_2014-12-01-11-57-22.jpg
    Screenshot_2014-12-01-11-57-22.jpg
    216.1 KB · Views: 5,179
Ajaenda advance kwanza Ana certificate hadi degree hapo kadanganya chuo alichosoma au ujanja wa short cut umetumika
 
Wale wa UD... oh mtu anamove from certificate hadi DEGREE!!!
Hata mimi nashangaa sana kwa elimu na uelewa alokuwa nao mheshimiwa masele ni AIBU AIBU AIBU KUBWA SANA KWA RAIS wetu kupa mtu huyu kitengo nyeti kama hiki jamani,Certificate mpaka degree UDSM? siwezi kukubali ama kukataa wana jamvi ila masele ni mwizi mzuri mwenye shule ndogo na ya kuunga unga huku watanzania
TULIOLOGWA NA MAFISADI HAYA AINA YA MASELE YANATAFUNA NCHI!

Lakini mwisho wake nod huh wacha tuone.
 
kuna siri nzito sana katika elimu ya huyu jamaa,ngoja nitawaletea taarifa nyingine juu yake,kwa ufupi ni hewa ama upepo ndo maana hana uelewa mpana juu ya nafasi aliyonayo
 
Hivi kwa nini Mawaziri wengi wa Kikiwete wana elimu za kuunga unga ..........................!!?
Huu elimu ya Maselle ni magumashi hasa
juzi Nassari alisema walipokuwa Marekani Maselle alisoma risala kwa niaba ya vijana 500
kwa kuwa Maselle alisoma Chuo kimojawapo huko USA
Leo tena CV yake inarudi na magumashi tupu
  • huwezi toka na Certificate ya Ualimu IIIA hadi UDSM kwenye BA kbla ya kupitia DIPLOMA au hata DUCE angalau
  • bado Primary ina walakini pia
 
Acha fitna zako wewe inkoskaz...sasa unataka kutuaminisha kuwa masele ndiye aliyechora dili???? jamani jaribuni kujikita kwenye shughuli za maendeleo na sio fitna za majitaka kama hizi...Mbona wewe pia ulifanya kazi Stanbic tena ukatimuliwa kwa udokozi mbona hatusemi???
Duh kweli kila shetani na mbuyu wake
attachment.php
 
Acha fitna zako wewe inkoskaz...sasa unataka kutuaminisha kuwa masele ndiye aliyechora dili???? jamani jaribuni kujikita kwenye shughuli za maendeleo na sio fitna za majitaka kama hizi...Mbona wewe pia ulifanya kazi Stanbic tena ukatimuliwa kwa udokozi mbona hatusemi???
acha porojo laiza
thibitisha usemayo
uzi umeleta history ya kikazi ya mh..hayo mengine unayaleta wewe kwa hisia zako
kwa nini uwe suspicious..hapa umepewa news tu HUTAKI UNAACHA!
 
Last edited by a moderator:
Huu elimu ya Maselle ni magumashi hasa
juzi Nassari alisema walipokuwa Marekani Maselle alisoma risala kwa niaba ya vijana 500
kwa kuwa Maselle alisoma Chuo kimojawapo huko USA
Leo tena CV yake inarudi na magumashi tupu
  • huwezi toka na Certificate ya Ualimu IIIA hadi UDSM kwenye BA kbla ya kupitia DIPLOMA au hata DUCE angalau
  • bado Primary ina walakini pia

Sasa mbona hiyo US haipo kwenye CV!!? Kuna watu wakienda nje hata for a short course wanajidai wamesoma huko ..... bul %$#t!!

Na hiyo ya Grade A ualimu mpaka BA sijui ya nini ................. something is seriously wrong here!! Sijui hiyo admission aliipataje!!??
 
Na huko Mkombozi nani aliwahi kufanya kazi?

10unnamed.jpg

Hapa ni siku ya mahafali ya Kajumulo High School na Bw Rugemalila alitowa shs 200m/= kama "zawadi" kwa shule mbele ya mkurugenzi wa Mkombozi Bank Mama Lupembe (kulia kwenye picha). Connect the rest!!!

BTW MZEE kILAINI NAYE ALIKUWEPO

8unnamed.jpg
 
Hivi mtu mwenye CV shalow namna hiyo anawezaje kupewa unaibu waziri tena katika wizara nyeti ya nishati na madini?

Mi hii Serikali siilewi hata kidogo.
 
Back
Top Bottom