Tegeta, Dar: Mapenzi yamekatisha maisha ya kijana mwenzetu

Ni mwendo wa ku equalize.....
Mm naona hii iendelee mpk akili ziwakae sawa walevi wa mapenzi.......

Mm nilipapaswa na sumu nishukuru paka alitangulia kula akafaa....

Baada ya hapo nilipapaswa shoka ya utosi...
Ilishusha kitanda chote ikakwama kwenye sement.....
Break ya kwanza kwenye kaburi la babu kutambika mizimuu

Sent from my Iphone 11 Max pro, nimeinunua jana pale karume karibu na duka la mapajama..
 
Hao vichaa wa mapenzi mnawapataga wapi
 
Hahahahahha we jamaa noma, duh
 

kivulana cha mwaka 1991 kina watoto wawili, acha kigongewe tu
 
Ni kweli tunazaa nje ya ndoa kwa wanawake huru, na tunawalea huko huko. Tukitaka kuwaleta hao watoto ndani tunashauriana mpaka mke akubali. Sasa ninyi mnataka kuwaleta ndani kwa nguvu tena katika mfumo wa sandwich!
Kuzaa nje wakati una mke wa ndoa ni zinaa tu! na kumuumiza mke wako!
Wanawake wanavumilia mengi sana ila naona sasa kuna dalili za kuchoka kunyanyasika kisa analinda ndoa!
 
Kuzaa nje wakati una mke wa ndoa ni zinaa tu! na kumuumiza mke wako!
Wanawake wanavumilia mengi sana ila naona sasa kuna dalili za kuchoka kunyanyasika kisa analinda ndoa!
Kuzaa nje hakutaisha kwani mitaani wanawake wanazidi kuwa warembo na wako single!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…