BestOfMyKind
JF-Expert Member
- Apr 26, 2012
- 1,348
- 1,466
Nlikua natafuta interviews na documentaries za magenge ya wauza dawa za kulevya ( cartels ) YouTube. Sasa nilivoandika "interviews with " YouTube ika-suggest interview with serial killers. Prior to that siku kama mbili nyuma nilikua naangalia vipande vya videos za movie ya " silence of the lambs" adaptation ya kitabu cha Thomas Harris. Movie ya mwanzoni mwa miaka ya 1990. Movie ilishinda tuzo tano za Oscar na Antony Hopkins alishinda best actor kwa kuigiza kama Dr. Hannibal lector a notorious serial killer. Sipendi movie za kutisha ila napenda movie zilizoshinda Oscars.
Huo ndo ulikua mfululizo wa matukio mpaka mimi kufikia kuona interview ya Ted Bundy. Kwa maelezo ya video interview ilifanywa muda mchache kabla ya hukumu yake ya kifo kwa kiti cha umeme kutekelezwa.
Theodore Robert Cowell a.k.a Ted Bundy kwenye interview hii anasema kilichokua kinamsukuma kufanya alioyafanya ni pornography, anasema yeye amelelewa kwenye maadili ya dini na hakua na tatizo lolote mpaka alipokua mkubwa na kuanza kuangalia pornography. Kwenye hii interview anaonekana ni mtu wa kawaida tu na akili zake na melody inayosikika juu ya video inafanya nimuonee huruma.
Kwa ufupi tu Ted ameua watu zaidi ya 30, wote wakiwa ni wanawake.
Baada ya kumaliza kuangalia video ilibidi niingie wikipedia kumtafuta nimjue kiundani zaidi.
Jamaa alisoma psychology Washington university na akafaulu with honors ( watu wa vyuo wanajua aina hii ya ufaulu).
Alijiunga na Chuo kikuu cha Sheria Utah pamoja na kutokua na matokeo mazuri ya mtihani wa kujiunga alikubaliwa kwakua aliwahi kumfanyia kampeni mgombea uraisi wa Marekani Nelson Rockefeller.
Matukio mengi ya katikati kabla ya yeye kuanza kuua watu yanahusu mahusiano yake ya mapenzi nakadhalika.
Jamaa alikua anawapata watu wake kwa kuwaomba msaada au kuwapa lift kwenye gari(hitchhikers) Basi akiwapata anaenda kuwabaka na kuwaua. Kuna wakati alikua anaingia hadi nyumbani mwa victim na kumuiba. Yeye mwenyewe anasema alikua anaendelea kufanya nao mapenzi hata baada ya wao kufa.
Watu wa usalama walishindwa kumpata mapema kwasababu kipindi hicho alikua ameajiriwa kitengo cha taarifa za watu waliopotea na hakuwahi kufungwa kwa kosa lolote kabla.
Ted alikua anapiga picha ya victims wake kabla hajawakata-kata ilikuwafanya wasitambulike.
KUKAMATWA
Jamaa alikamatwa baada ya kusimamishwa na polish wa doria kwa kosa la mwendokasi. Kwenye gari lake walikuta pingu na vifaa vya ukabaji. Ila alijitetea anasema pingu ameziokota na vingine ni vifaa vya kawaida vya nyumbani. Aliachiwa lakini alikamatwa tena baada ya mmoja wa victim wake ambae alibahatika kutisha kumtambua kwenye mstari wa watuhumiwa wa polisi.
Kuna wakati alotoroka alipokua mahakamani.
Akakamatwa tena uchunguzi ukaonesha kwenye gari lake kilikua na nywele za watu aliowaua.
Pamoja na kukubali kufanya mauaji lakini alikataa kuwajibika kwa kusema polisi wamepandikiza ushahidi, kalaumu pornography nk.
Ukipata wasaa pitia
https/en.m.wikipedia.org/wiki/ted_Bundy