BJBM
JF-Expert Member
- Nov 25, 2011
- 664
- 606
Nikajua niko peke yangu na hili tatizo. Hata y3 yangu inanifanyia mapicha picha hayohayo. Yaani tatizo ikikaa idle automatically inajizima. Mwanzo nlijua maybe betri ndio inacheza, nkawekaa karatasi ijishike vzuri lakini wapi. Hizi simu za tigo za y3 zina mawenge sana sijui kwa sababu ni za offer?!!!