ππππ naona umepata mwenzio.Ni salama kabisa tecno yangu leo imeniamsha kwa ring tone ya bila kutegesha nafikiri imeshaanza kujua muda wangu ninaomka.
ila katamu haka katecno kangu.
Umeongea vema...ndio najarbu kuwaelewesha wenzangu tunaotumia alhaj tekno waeleweTuache kuongea kwa kuongozwa na utashi binafsi bali tuongee kwa uhalisia, huwezi fananisha simu aina ya Tecno na simu kama Samsung ama I phone. Ni vitu viwili tofauti, Tecno zinatengenezwa kwa mlengo wa watu wa chini/kawaida ambao wanatamani kuzifikia simu tajwa ila wanashindwa kutokana na sababu moja ama nyingine, suala sio matumizi ya simu kufanana, hapa tunazungumzia comfortability na satisfactory wakati wa matumizi ya simu husika.
πππ duuh.Nipe location nitimbe chap anza na savana nikija nitalipa mama Samsung.
Kwani ukimuona maskini huwezi kujua kwamba ndani kuna nini ?
Hapi utajua tu maharage ya jana ,wali uliochacha, mrenda wa juzi mixer uji usioiva.
Wachaaaaaa. Komaaa Zero mpaka ueleweke maana. πππππππHatujifariji mama sumsung mi ndio baba Tecno forever.
Umeongea vema...ndio najarbu kuwaelewesha wenzangu tunaotumia alhaj tekno waelewe
Sio wazo lako tu,ni wazo langu pia mkuu.Watu bwana, sio kila ukweli unaweza kuwa ndio ule unaotaka kusikia, kuna wakati lazima tukubali uhalisia wa jambo, katika biashara kuna kitu kinaitwa "targeted customers" hili ni jambo muhimu sana! Majority ya simu za tecno huuzwa Africa, i said majority na "sio kwamba hakuna tecno zinazouzwa elsewhere". Mie mwenyewe natamani kutumia I phone X ila hiyo bei yake kwa sasa sijaweza kuifikia ninaendelea kudunda na S7 edge yangu. Kama kuna binadamu asiyependa kitu kizuri huyo atakuwa ana dosari sehemu fulani. Ni wazo langu tu
Ndio watumiaji wa tecno sasa.Kwani ukimuona maskini huwezi kujua kwamba ndani kuna nini ?
Hapi utajua tu maharage ya jana ,wali uliochacha, mrenda wa juzi mixer uji usioiva.
Basi tuseme umetumia simu sawa.Binafsi nmetumia tecno h6 for 3years now natumia Samsung J7 pro ila sijaona tofauti kubwa baina yao, tofauti kubwa ni majina tu
Hivi Itel nazo zikoje?Hazinaga maana hizo Mangi. Yaani ni simu nzuri kimuonekano + ukubwa ila nje ya hapo si lolote.
Bro, nishatumia iphone, kitu hakina hana kb moja ilobaki kwenye storage, nlikuwa naweza kupiga screenshot na ikawa saved, nilikuwa naweza kupokea sms bila waswas, na ilikuwa haistuck kabisa. kitu ambacho ilikuwa siwezi kufanya ni kuchukua picha na video na kudownload apps. We unaona kawaida simu kubakia 480mb ikisha ikawa ina stuck? unazijua 480mb lakini au umeona kb wewe? una explain vipi sms ya kb inashindwa kuingia kwenye simu ambayo ina mb za kutosha zimebaki?Yaani unatumia simu mpaka inafikia 480 mb alafu bado unalalamika ikiwa inastack ?
Simu unaigeuza laptop mkuu?
ππππ Nimecheka lol.Wataelewa tu na masimu yao ya mkopo hayo .
Hata sijui mwaya ndugu ngoja waje wajuzi watuambie nazo zimekaajeHivi Itel nazo zikoje?
Zina mambo kamahaya ya tecno!