The-unknown
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 1,679
- 1,946
Mi ni tecno user na siyo kwamba sijawahi kumiliki samsung hapana ila ilinichosha kutokana na kutaka kunigeuza kuwa teja wa kwenye soketi ya umeme.
Toka nimeanza kutumia tecno hizo changamoto kwangu ni no japo hazidumu sana sometime na mapicha picha yake lakini Tecno is the best kwangu.
---inakaa na chaji 24+ hours kama sina mambo ya kufanya online.
__Camera yake iko vizuri .
__Kioo kikubwa
__Rahisi kuitumia haina mambo mengi.
__Space ya kutosha tu 16GB siyo haba kwa matumizi yangu binafsi.
__bei yake ni kawaida tu kwa mimi mjasiriamali au ata mkulima kuweza kuimudu.
__Upande wa data ni 4G+ na hazina ugumu kwenye upande wa Network setting.
Mnaotuponda watumia Tecno mkuje hapa mtupe Utofauti wa simu zenu.
Mi niko hapa natumiaTecno na hii post mnayoina nimeandika kwa kutumia tecno bila shaka mmeiona haina tofauti na atakaekuja kuandika kwa kutumia Samsung au I phone.
Nina katecno mkuu nikitumia eyefoni sitolala usiku nitaota acha nipambane na hali yangu 😛SPIDI ULIYOKUJA NAYO KAMA KUKU ANATOKA BANDANI. wewe unatumia simu gani nataka nikuhonge eye foni
Nina katecno mkuu nikitumia eyefoni sitolala usiku nitaota acha nipambane na hali yangu 😛
Naogopa vya burebure Mimi....Unaogopa kuhongwa Arifu? Mimi nakuhonga kama member mwenzio wa JF tu
Naogopa vya burebure Mimi....
Kazi na dawa ndio mpango sio bure bure nitabaki na stressUsiogope kabisa yaani niamini kama unavyomuamini nduguyo sinaga tabia za kuhonga na kudai mrejesho nyuma
Kazi na dawa ndio mpango sio bure bure nitabaki na stress
Hahaaaa kichwa cha habari kikubwaaMwisho atakuja humu kusema alikula kwa i phone
Tecno? Hata bure sitaki. Sio ulimbukeni, kutumia tecno sema tu hali ya uchumi mbaya. Ukiwa na stable income tecno ni usumbufu mbaya sana.Sema duniani kuna aina mbili tu za malimbukeni type ya kina myweather nao ni watumiaji wa I phone na Sumsung wanaoponda simu zingine eg Tecno
😳Tecno werevaa...
[emoji26]
Naangalia tu makampuni ya simu yanavyoshindanishwa hapa[emoji26]
Mmhh..atapatikana leo kweli???Naangalia tu makampuni ya simu yanavyoshindanishwa hapa
Mpaka nimjue mshindi ndio naenda kulala
Waambie mkuu, Manake simu za kichina ni matatizo tupu. Kama mnataka simu ambazo zitakaa na chaji muda mrefu kanunueni Nokia ya TochiSiku tecno wakianza tumia qualcomm processor badala ya mchina mediatek pia wakianza weka screen zenye super amoled basi ntakuja tecno