Tecno User Vs Samsung and iphone user

tecno nimewahia tumia ni simu nzuri unapotafuta hela ya kununua simu nyingine sio uifanye ya kudumu.
 
mh sikupanga kuchangia ila ngoja nichangie,INA maana iPhone zinaongeza akili,ngoja twende mirembe tukawagawie vichaa wote iPhone iwe tiba.
 
mh sikupanga kuchangia ila ngoja nichangie,INA maana iPhone zinaongeza akili,ngoja twende mirembe tukawagawie vichaa wote iPhone iwe tiba.

Kama umeshindwa kumiliki 1 tuu utaweza kuwa nazo nyingi sawa na udadi ya vichaa? Mkuu Nunua iphone hutojuta
 
Sema duniani kuna aina mbili tu za malimbukeni type ya kina myweather nao ni watumiaji wa I phone na Sumsung wanaoponda simu zingine eg Tecno

Huna Hela Kaka! iphone ni ndoto ya kila Binadamu
Fanya kazi upige Pesa ukavute iphone yako! Ni sawa na kumiliki vits Halafu unasema wenye V8 na Rangerover Malimbukeni
Non sense
 
Umeonaeee. Hazina maana hizo simu.

Itakuwa zero Iq anazisifia sababu hajakutana na madhila yake.
Labda inawezekana ila kuna tecno mimi niliitumia miaka mitatu na ilikuwa fresh sana tena utunzaji wangu ni mbovu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…