hahaaa wewe nina uhakika kosa kosa sana unatumia samsung tena high end
naitumia naona iko poa,pia niliwahi kutumia c7 ilikuwa vizur hili tatzo la kuganda cm sijawahi kuliona kwake na mm kwa kuingia mtandaona na kudownload ndo zangu ila zingine ukiwa na tabia ya kupakua mafile makubwa hazichelewi kustuck,mi naona haya matoleo ya camon ni mazuriSijawahi kuitumia. Lakini niliangalia review zake naona wanasema iko fresh yaani.
Itel sio simu mzee..achana na hayo matoyNa Itel vipi wazee
Sawa...basi enjoy mkuu...naitumia naona iko poa,pia niliwahi kutumia c7 ilikuwa vizur hili tatzo la kuganda cm sijawahi kuliona kwake na mm kwa kuingia mtandaona na kudownload ndo zangu ila zingine ukiwa na tabia ya kupakua mafile makubwa hazichelewi kustuck,mi naona haya matoleo ya camon ni mazuri
mkuu hii uliagiza au kuna duka ulinunua hapa bongoXiaomi 5s plus nawakilisha
😀😀😀Ooh. Nimeelewa sasa Mtani.
Hapo kwenye red nitake radhi Mtani. 😂😂😂😂
Ongera sana mkuu achana na hao wanaonunua simu kutokana na umaarufu wa majina ya kampuni .Ndio nina wiki hapa toka nihamie tecno kutoka samsung Note....samsung zikianza kusumbua battery utaziomba poo. Niko na tecno pouvoir 2 naona iko bomba tu
Oooh.Nakusaidia, zipo nyingi tuu
Mfano ni hii niliyonayo, siyo tecno ila betri yake ni mhA 3000, tangu ichajiwe jana asubuh ina 39% sasahivi, na ikumbukwe ni weekend so nimeitumia saanaa...
Haukuwa nia Kaka maana kila nkiwa nyumbani sipo hewani nikajione hapana aisee.Dada umetuachia brand yetu pendwa?
Hahahaaaa. Sikai nje ya Mji Mkuu simu tu ndio ilikuwa bomu.ilikuwa setting babu ,huende uliipa 3G tu na huku kwenu ni nje ya mji