City Of Lies
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 5,721
- 7,318
Hapo kwenye red nakubaliana nawe 100% mkuu.Okay... Battery ya iPhone 6 si ni mAh 1800 hivi..
Kama unakaa nayo 24 hrs basi utakuwa huna matumizi mengi na simu yako
True say mkuu tecno H6 iz best Tecno phone everTecno H6 ndio ndio key revolution ya smartphone za tecno na karibun MTK zote hasa kwenye camera, na ngoja n google ila nahc ndo inaongoza kwa mauzo kwa cm za tecno, ile cm kuweka mbali specifications sijaona tecno kama ile, sijawah kua mteja wa tecno ila ile angarau niliipenda
Utaiacha kwangu kwa uchunguzi kidgSawa mkuu bila shaka nitakupa taarifa unisindikize
Hiki kicheko Sent from Oking kama si itel
Yangu ina mwaka sasa napeta tuuTecno baada ya miez 6 inastack
Dah aloo watu mnavitukoTecno kwa mapichapicha ni KIBOKO uzuri wake ni affordable yaani features za Tecno let's say j8 ikiwa ni za Samsung tungennunua labda 2millionView attachment 861103
Bana natumia nokia torch mie usinipandishe ukoHiki kicheko Sent from Oking kama si itel
Dada umetuachia brand yetu pendwa?Ngoja waje mpambane ila kiukweli Tecno niliwahi tumia na ikanizingua upande wa Network yaani ukiwa mjini ndio unapatikana nikirudi home ni kama nina kopo tu.
Toka hapo sijawahi tumia tena Tecno aiseee na sitatumia tena. Ilikuwa Tecno C9 hiyo.
hahaaa wewe nina uhakika kosa kosa sana unatumia samsung tena high endBana natumia nokia torch mie usinipandishe uko
Kah..hapo ni tatu tatuKwani watanzania wangapi umewaona wanatumia nyama ya mbwa kama kitoweo? trust me 99%ya watanzania wanatumia nyama ya ng'ombe kama kitoweo kumaanisha hawaiamini nyama ya mbwa lakini Wachina je mkuu?
camon x vp mkuuP5 ipo outdated mkuu.
Tafuta mpya bhana.
ilikuwa setting babu ,huende uliipa 3G tu na huku kwenu ni nje ya mjiNgoja waje mpambane ila kiukweli Tecno niliwahi tumia na ikanizingua upande wa Network yaani ukiwa mjini ndio unapatikana nikirudi home ni kama nina kopo tu.
Toka hapo sijawahi tumia tena Tecno aiseee na sitatumia tena. Ilikuwa Tecno C9 hiyo.
Sijawahi kuitumia. Lakini niliangalia review zake naona wanasema iko fresh yaani.camon x vp mkuu