Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 55,027
Sitaki kuelezea kwa undani zaidi maana ntajikuta namwaga machozi yangu bureeeee!!!
Ila Tecno kwa kheri, niliwapenda ila mmejiharibia wenyewe.
"zamani niliwatetea ila mlichonifanyia sitakaa nisahau"