sawa meneja nimekupata.Umemuona kitaa feki umezoea vya bure nenda maduka ya tecno upate kitu original
ok lini inafanyika na saa ngapi?kwani ujasikia kuna interviews itaendeshwa pale uwanja wa Taifa kwa watu wote TZ wanaotumia techno nenda kajumuike nao
ijumaa kuanzia saa mbili kamili asubuhiok lini inafanyika na saa ngapi?
Nilianzana tecno A7 (Phantom Z mini) sasaivi nina Phantom6. bado sana hujaniambia niachane na tecno. Kwanza inakaa na charhe kwa muda sana hata kama umewasha data. kuchaji ni 30mnts full hata kama ilikuwa empty kabisaNenda ofisi zao pale, samora nhc house, Kama bado ipo kwenye warranty wakutengenezee, hakuna kifaa cha electronic kilicho perfect, cwez acha kutumia tecno. I'm a die hard fan of them
Kwahyo kila anaei root simu yake ni lazima ife?Kama uliroot simu kama uliflash au kama unajaza ma apps mengi kuliko uwezo wa ram lazima ife
sio mtunzaji sim....tecno mdogo angu anayo j7 huu mwaka wa3 na haijawah msumbua kwa lolotb
bora ingelipuka ila kwa jinsi ilivyokufa nimebaki mdomo wazi , ilianza kufa system charger ikafatia network yaan hapa ni miezi minne toka niichukue ni tecno c8
kivipi?
Hahahaahha tecno nilikuwa nasikiliza music kutoka coco kwenda home nimefika ostabay ikazimika, haijawaka hadi leo nimewapelekea wameniambia niwape 80k Huo ndo ulikuwa mwisho wa kutumia tecnoSitaki kuelezea kwa undani zaidi maana ntajikuta namwaga machozi yangu bureeeee!!!
Ila Tecno kwa kheri, niliwapenda ila mmejiharibia wenyewe.
"zamani niliwatetea ila mlichonifanyia sitakaa nisahau"
Mnanunua tecno feki za bei rahisi halafu mnakuja kulalamika kwenye mitandao,imekufa system charger na network ndo kabisaaaa hata haifanyi kazi ,nimekaa hapa natazamana nayo.
Nobody is perfect...nothing is perfect...!!!Sitaki kuelezea kwa undani zaidi maana ntajikuta namwaga machozi yangu bureeeee!!!
Ila Tecno kwa kheri, niliwapenda ila mmejiharibia wenyewe.
"zamani niliwatetea ila mlichonifanyia sitakaa nisahau"
Tecno ni cm mbovu sana na vifo vyake ni vya ghafla inaweza ikazima tu ghafla ukiiwasha screen inawaka tu nyeupe inablink. Alafu mbaya zaidi care center zao hawawezi kutengeneza hlo tatzonimeamini leo ila niliambiwa nikafikiri wanasingiziwa ila sasa hv nimeamin ni mabomu
BaadhiKwahyo kila anaei root simu yake ni lazima ife?
Pole mkuu,najua umeteketeza akiba yako ya mchagoni.Sitaki kuelezea kwa undani zaidi maana ntajikuta namwaga machozi yangu bureeeee!!!
Ila Tecno kwa kheri, niliwapenda ila mmejiharibia wenyewe.
"zamani niliwatetea ila mlichonifanyia sitakaa nisahau"