Nafikiri Zaidi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 516
- 686
Leo Nimeona Tecno wameleta Software Update .....Nimedownload hiyo updates na nisha install ....Hiyo New Upandes nimeona ina Fix Some Bugs ...
NB: Ikumbukwe hii simu kabla ya kufanya updates ilikua ina stuck mara kwa mara hadi kero ila sasa tangu nifanye updates naona no more stucking hadi saivi ninavyoandika hii Thread .
Picha ya kwanza nikiwa nafanya updates..
Picha ya pili nikiwa nishafanya updates