Tecno phantom 5 yazinduliwa

Tecno phantom 5 yazinduliwa

Hata mimi kuna vitu viwili nikishaviona basi hiyo simu hata unipe bure naiweka stoo.
1. Made in China. Hapa hata iwe original
2. Mediatek

What is not made in china????
 
What is not made in china????

Kuna mtu anataka kuniuzia note4 kwa laki 7 najiuliza kweli note4 mpya kwa bei hii si itakua feki au bora niongeze hela ninunue hii tecno phantom 5
 
Kuna mtu anataka kuniuzia note4 kwa laki 7 najiuliza kweli note4 mpya kwa bei hii si itakua feki au bora niongeze hela ninunue hii tecno phantom 5

run cpu z, note 4 ya kimataifa ina snapdragon 805, au ikiwa ni ya specific country maybe itakuwa na exynos
 
LG mwezi huu wanatoa lg v10 nimeangalia specifications ni hatari inaonekana bei yake itakuwa si ya kitoto, ngoja niiandalie pesa mwakani niimiliki ikiwa imeshuka bei kidogo

Chief-Mkwawa
 
Last edited by a moderator:
LG mwezi huu wanatoa lg v10 nimeangalia specifications ni hatari inaonekana bei yake itakuwa si ya kitoto, ngoja niiandalie pesa mwakani niimiliki ikiwa imeshuka bei kidogo

Chief-Mkwawa

ina snapdragon 808 ambayo ni mid to highend processor, hii chip inaifanya hii simu isivutie sana ila itategemea na bei. kama itakua chini ya dola 400 sio mbaya ila ikizidi hapo inabidi uiangalie mara 2
 
Last edited by a moderator:
ina snapdragon 808 ambayo ni mid to highend processor, hii chip inaifanya hii simu isivutie sana ila itategemea na bei. kama itakua chini ya dola 400 sio mbaya ila ikizidi hapo inabidi uiangalie mara 2

hii simu ilinibadilisha mawazo nilitaka kuchukua lg g4 lakini pia zote zina processor moja, kwa hiyo ww unanishauri vipi kaka kati ya v10 na g4?
 
your phone is made in china, with an added QC-(quality check) label, and branding from EUROPE or USA.
Mi pia naweza pinga kivingine japo nawewe upo sahihi. China/vietnam wao Mara nyingi wanaunganisha ram, soc, spika, mic, motherboard, battery etc lakini hawavitengenezi hivyo vifaa.

Factory kubwa kabisa zinazofanya manufacturing ya chip za ndani za simu Ni TSMC na samsung

Hawa TSMC wapo Taiwan na Samsung wapo south Korea, kama Samsung anatengeneza flash memory kama internal memory za simu, anatengeneza ram, soc za simu(processor, gpu, Bluetooth, wifi, modem za 3g/4g)

Mfano mzuri Ni iPhone 6s karibia kila kitu kimetoka kwa Samsung na TSMC then ndio vinaenda foxconn China kupachikwa.

Hii kazi ya kupachika hata sio ngumu hata Tanzania tunaweza na salary wanazolipwa Ni dola 200 tu, hao wanaopachika Ni watu wakawaida wanaopewa training
 
your phone is made in china, with an added QC-(quality check) label, and branding from EUROPE or USA.

Mbona unalazimisha China mzee? My phone is not made in China!
Au umeiona simu yangu
 
Specifications :

Netwok: 2G/3G/4G LTE
Display : 5.5" Full high definition
Protection: Corning gorilla glass 3
Dual sim
Sensor : Proximity,Gyro, Finger print scanner
Gps
Internal Memory : 32GB
Ram: 3GB
Battery :3000 mah

Hii ni bonge la simu
Ikiwa 4G ujuwe Ina 1G, 2G na 3G dani yake!
 
nimefanya utafiti mdogo na kungundua yafuatayo, hii tecno Phantom 5 ni copy and paste ya simu za Gionee elife E8 na Blu pure XL. tofauti ya hii tecno Phantom 5 ni internal memory ya 32GB na display ya 5.5".. ila specifications zingine zote mpaka appearance ni vile vileee.
 
mi niliwahi fanya ki utafiti cha aina hio miaka miwili iliopita, sio phantom 5 tu simu zote za tecno, zina wenzake zaidi ya 10 wanaofanana exactly. inshort hawatengenezi simu wanabandika tu majina yao juu au kutoa order nataka simu ya aina fulani. niliwahi leta hadi factory zinazotumika kutengenezea simu za aina hizi zisizo na majina na jamaa kukiri biashara yao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom