Tecno phantom 5 yazinduliwa

Tecno phantom 5 yazinduliwa

Tanzania sijui itakuja lini
 
Specifications :

Netwok: 2G/3G/4G LTE
Display : 5.5" Full high definition
Protection: Corning gorilla glass 3
Dual sim
Sensor : Proximity,Gyro, Finger print scanner
Gps
Internal Memory : 32GB
Ram: 3GB
Battery :3000 mah

Hii ni bonge la simu

US$ ngapi hiyo?
 
Bongo cjui itafika lini Nigeria na Kenya tayari
 
Chip za mediatek ziko vizuri sana ila unapo kuja kwenye swala la biashara kuna propaganda nyingi sana kila kampuni inataka kuonekana bora kumzidi mwenzake na ukijaribu kufuatilia hamna simu isiyo haribika iwe hardware au software
Katika hizi chip hamna ambayo iko 100% na ndio maana kila siku wanatoa chip mpya na wanalekebisha makosa madogo madogo.
 
Niliona tecno moja wameilebo 1,000,000 mlimani city. Sikufatilia ni tecno ipi hiyo maana hilo jina tecno huwa linanichefua

Nawaza sana hv kati ya tecno na simu za clone/copy bora zipi zenye afadhali?
 
Nawaza sana hv kati ya tecno na simu za clone/copy bora zipi zenye afadhali?

Kwa efficiency sijui, hapo inabidi wataalamu waeleze. Lakini kwa muonekano bora clone maana mtu akikuona anasema una samsung. Tecno inadharaulisha.
 
Kwa efficiency sijui, hapo inabidi wataalamu waeleze. Lakini kwa muonekano bora clone maana mtu akikuona anasema una samsung. Tecno inadharaulisha.

mimi huwa nikizikuta zimechanganywa na Original tu (i.e.Samsung, Motorola, Nokia, iPhone n.k.) basi kwenye hilo duka sitanunua simu maana ntaziona simu zote ni TECNO. Na mara nyingi huwa sitaki hata kuziona
 
Nawaza sana hv kati ya tecno na simu za clone/copy bora zipi zenye afadhali?

kwa mtazamo wangu zote hazifai, yaani kitendo cha kutumika Mediatek tu basi! Hiyo simu mi hainifai. Narudia tena HUU NI MTAZAMO WANGU TU
 
kwa mtazamo wangu zote hazifai, yaani kitendo cha kutumika Mediatek tu basi! Hiyo simu mi hainifai. Narudia tena HUU NI MTAZAMO WANGU TU

Hata mimi kuna vitu viwili nikishaviona basi hiyo simu hata unipe bure naiweka stoo.
1. Made in China. Hapa hata iwe original
2. Mediatek
 
Specifications :

Netwok: 2G/3G/4G LTE
Display : 5.5" Full high definition
Protection: Corning gorilla glass 3
Dual sim
Sensor : Proximity,Gyro, Finger print scanner
Gps
Internal Memory : 32GB
Ram: 3GB
Battery :3000 mah

Hii ni bonge la simu

Tecno sio simu ni makopo,ingawa na mimi ninayo ila najuta.
 
mimi huwa nikizikuta zimechanganywa na Original tu (i.e.Samsung, Motorola, Nokia, iPhone n.k.) basi kwenye hilo duka sitanunua simu maana ntaziona simu zote ni TECNO. Na mara nyingi huwa sitaki hata kuziona

Ndo maana hata siwezi kununua simu kariakoo.
Bora kwenye maduka ya waarabu au wahindi posta maana unakuta matecno wameyatenga. Na wakati mwingine simu clone wanakwambia kabisa.
Leo nimemkuta mwarabu mmoja anapigwa na lg g2 pale mtaa wa jamuhuri nikajisemea kumbe hata hawa weupe wanapigwa
 
wabongo ni watu wa ajabu mishipa imewatoka kuponda tecno simu za kichina wakati kavaa suruali ya kichina.chupi china viatu china subwoofer yake ya kichina tv kichina redio kichina nk nawadharau sana hawa watu maana hapo ulipo pia unajipepea na feni la kichina hadi unapost huo ujinga wa kuponda tecno eti kisa mchina mbav zenu
 
Una uhakika?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom