Deeboyfrexh
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 3,422
- 5,595
Tecno wametoka mbali jamani,learn to appreciate samsung fan boys/girls.Wameweza kuwa innovative sana tu na simu zao ni imara tu kama zilivyo simu nyingine ingawa factory defects zinaweza kutokea at times na kupelekea simu zao kusumbua kama itokeavyo kwenye brands maarufu kama samsung,sony,LG n.k
Wamedhihirisha kuwa mbadala kwa wapenzi wa simu za smartphone ambazo zinajali afya ya mteja kiuchumi,yani kwa gharama nafuu unaweza kumiliki smartphone ya kisasa ya tecno tofauti na smartphone za makampuni mengine ambazo bei zake zinakuwaga juu mno.
Ninachoona shida ya tecno ni jinsi walivyoliingia soko ndio kinachofanya watu wengi waipondee maana walianzaga na simu ambazo ni purely za kichina na za bei rahisi tu na zikawa zimezagaa mjini hazikuwa na uspesheli wowote ingawa mara kadhaa zilionekana kuwa imara(likes of nokia) kuliko simu yoyote iliowahi kujulikana kama mchina,hata walipoanza biashara ya smartphone pengine ni bora wangeanzisha kujiita jina tofauti kwa ajili ya kujenga upya reputation ya bidhaa zao.Matokeo yake watu wakawa wanaona smartphone gani za tecno tena mchina,zitakuwa hovyo tu kama simu za michina ilivyo ila kadri muda unavyosonga tecno wamezidi kujiboresha kwa kutengeneza simu imara na za kisasa kama makampuni mengine na hata wapo walioamua kuzijaribu wakagundua zipo poa sana.So mi naona tusizipondee tecno kwa bias zetu tu they are also good as other brands but itategemea na preference yako na kama we ni mtu wa name brands(samsung,sony,nokia,LG n.k) na unaweza kuendelea kuzinuna kwa gharama yoyote ile kuwa huru usinunue tecno,ni hayo tu!