Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
Wakuu naomba kujuzwa juu ya hizi simu mbili
Nimesoma specs zake nikaona kuwa
Wakuu wataalamu wa simu yupi mzuri hapo make nilitaka kuchukua P3 lkn hiyo java sijajua faida yake kwenye simu
Nimesoma specs zake nikaona kuwa
- Tecno p3 anayo RAM ya 500 wakati N3 nyingi ni 300MB
- Tecno P3 anayo flash na front camera na huyu n3 hana
- Lkn P3 hana java wakati N3 anayo
Wakuu wataalamu wa simu yupi mzuri hapo make nilitaka kuchukua P3 lkn hiyo java sijajua faida yake kwenye simu