Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
- Thread starter
- #21
Tekno wamepamba soko
Kwa wale wenye bajeti ya chini wakati wanataka high quality phone hizi ndo simu zao...
Ila ki ukweli hizi simu majanga kama we ni high end user
Tekno wamepamba soko
Masikini mnafarijiana..
afu nimeona na n7 ni kubwa kama matoleo ya galaxy ina 1gh processor ila sijajua ram yake. Bt ina android 4.0 na ina double camera 5mg kwa shiling laki tatu tu..naona tecno wanaanza kuchukua soko taratiibu