Tecno Mobile ndani ya GSM Arena

Long live Duro.

Washakubali sasa, ngoja tusubiri wakuje na kisingizio mpya
 
mkuu kuna vi samsung vya kijinga saiv vimekaa kitecno tecno..kwa mfano grand prime pro yani vyepesi kioo nadhan hata sio amoled
 
mkuu kuna vi samsung vya kijinga saiv vimekaa kitecno tecno..kwa mfano grand prime pro yani vyepesi kioo nadhan hata sio amoled
Hizo ni lower end samsung , Kashajua watu wanapenda jina sasa inabidi awatengezee vya bei rahisi tu mana hakuna namna
 
Hv kuna Samsung gani kali Og unaipata chini ya 5k?sasa check tecno ya 4 to 5 k viwango vyake ni vya hz simu zako za misifa za 8k kwenda juu.
 
Hv kuna Samsung gani kali Og unaipata chini ya 5k?sasa check tecno ya 4 to 5 k viwango vyake ni vya hz simu zako za misifa za 8k kwenda juu.
Ndio maana nakwamba watu kumiliki tecno nyingi sio mapenzi kwa brand ya tecno bali ni uchumi tu
 
Hv kuna Samsung gani kali Og unaipata chini ya 5k?sasa check tecno ya 4 to 5 k viwango vyake ni vya hz simu zako za misifa za 8k kwenda juu.
samsung nzuri ni j2 j5 na j6 za kabla ya mwaka 2018
 
ipitishwe bungeni , wapige ban utumiaji wa tekno

Viva Samsung
 
Bei hiyo ni ya jumia, ukienda dukani unakuta ni cheap kuliko. Niliwahi kuchungulia huko bei ya Tecno camon x, cha ajabu nikaenda kuinunua dukani kwa bei chee zaidi
Unachosema ni sahihi kabisa. Mimi huwa jumia natumia kama reference tu. Nikiona hapo kitu ni 100k najua chimbo itakua ni kwenye 80k[emoji1]
 
Sasa hiyo bei usikute hiyo simu ni laki sita au tano na ushee, huko ukinunua au kwenda Tigoshop ujiandae kuuza kwa cha juu
Tigo shop/jumia wote ni wapigaji tu.

Sehemu pekee yenye kitonga ni aliexpress.

Tz biashara ya mtandao ina gharama kubwa kuliko maduka ya kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…