Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,278
- 44,414
Bei ya Tecno s1 ni laki moja au zaidi. Bei unayoitaja wewe ni simu ambayo imekuwa subsidized na mtandao wa simu, imelokiwa itumie mtandao fulani ndio maana bei ipo chini.Tecno s1 70000, kuna Samsung ya bei hii? Na iwe mpya.