Tecno Mobile, mkombozi wa Waafrika.

Tecno Mobile, mkombozi wa Waafrika.

Mr Confidential

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,545
Reaction score
2,486
Ni dhahiri kabisa kuwa bila simu za tecno watu wengi tusingekua tunatumia smartphone.

faida kubwa ya simu za tecno ni kua

*Bei ni rahisi hadi 150k tshs
Hii inasaidia watu kutumia kipato chao kwenye mambo mengine. Yaani mambo anayofaidikia mtu aliyenunua iPhone au Samsung kwa zaidi ya 800k kama vile instagram, whatsapp, jamiiforums, YouTube, snapchat nk.

Ila utakua huna akili vizuri kulinganisha tecno na Samsung au iPhone. Watu wengi tunatumia tecno kwasababu ya uwezo mdogo wa kifedha,hakuna mwenye mapenzi na tecno.

Nikipata hela,tecno nitamuhama.
 
mimi natumia tecno f2 ya laki na nusu na age yangu ni 31

ninamiliki nyumba ya kuishi niliyojenga chanika

ninamiliki gari ndogo passo niliyoagiza mwenyewe japan

ninamiliki laundry business sehem tofaut

ninamiliki tshirt printing workshop

ninamiliki studio ya kupiga picha za kisasa na video kwenye events..

sijawai kua na hela ya kununua smartphone zaidi ya laki na nusu...

ila nimewai kununua vitu vingi sana zaidi ya laki na nusu vinanisaidia maishani kupata kipato kila siku..

kuna vijana wengi sana wa umri wangu wanakujaga kunikopa hela na wanaweka bond smartphone zao za laki 5 hadi milioni..

kama nina hela huwaga nawakopesha ila nawashangaa sana.. na wengi wao kunilipa wanasumbua..

hapa nilipo nina i phone 6 + mtu ameweka bond nimpe laki 3.. na anasumbua kulipa.. namuonea huruma tu kuiuza na akileta ujinga naiuza kweli

nilichojifunza watanzania wengi vijana hawajui kuzungusha pesa.. hela wakipata wanatumia katika vitu ambavyo haviwasaidiii

sababu mimi na tecno yangu ya laki na nusu kila mtandao maarufu nina access bila wasi wasi sawa na mwenye samsung au iphone ya milion 2
 
Kweli Tecno ni mkombozi wa wanyonge mwanzoni nilikuwa sizipendi kutokana na software zao mbovu lakini sasa hv naona wanajitahidi.
Ila ukitumia Tecno unaonekana we mshamba mbele ya watu wenye Sumsung na iPhone
 
mimi natumia tecno f2 ya laki na nusu na age yangu ni 31

ninamiliki nyumba ya kuishi niliyojenga chanika

ninamiliki gari ndogo passo niliyoagiza mwenyewe japan

ninamiliki laundry business sehem tofaut

ninamiliki tshirt printing workshop

ninamiliki studio ya kupiga picha za kisasa na video kwenye events..

sijawai kua na hela ya kununua smartphone zaidi ya laki na nusu...

ila nimewai kununua vitu vingi sana zaidi ya laki na nusu vinanisaidia maishani kupata kipato kila siku..

kuna vijana wengi sana wa umri wangu wanakujaga kunikopa hela na wanaweka bond smartphone zao za laki 5 hadi milioni..

kama nina hela huwaga nawakopesha ila nawashangaa sana.. na wengi wao kunilipa wanasumbua..

hapa nilipo nina i phone 6 + mtu ameweka bond nimpe laki 3.. na anasumbua kulipa.. namuonea huruma tu kuiuza na akileta ujinga naiuza kweli

nilichojifunza watanzania wengi vijana hawajui kuzungusha pesa.. hela wakipata wanatumia katika vitu ambavyo haviwasaidiii

sababu mimi na tecno yangu ya laki na nusu kila mtandao maarufu nina access bila wasi wasi sawa na mwenye samsung au iphone ya milion 2
kwel kabisa,,,tunapenda kuwa na vitu vya gharama ambavyo kiufup,,havina faida yoyote zaid ya ufahar wa kipoyoyo
 
mtu ananunua iphone aoshee mademu..

mademu ukiwa na maisha ya kueleweka unakula mpaka unachoka hata kama una kitochi tu..

demu anakuja kwako unaishi maisha yamenyooka..

biashara zako zinaonekana, usafiri upo, ujenzi anauona... bila janja janja, akiwa na shida zake ndogo ndogo unatatua tu bila zengwe.. hata kama hujamtongoza,,, anakupa tu kiurafiki bila kujali una simu ya tochi au itel
 
salute mkuu, kuna watu humu wanapenda kutamba na samsung au iphone ilihali wengine hata kitanda hana,
sifa za kijinga na kudharau member wengine.
 
mimi natumia tecno f2 ya laki na nusu na age yangu ni 31

ninamiliki nyumba ya kuishi niliyojenga chanika

ninamiliki gari ndogo passo niliyoagiza mwenyewe japan

ninamiliki laundry business sehem tofaut

ninamiliki tshirt printing workshop

ninamiliki studio ya kupiga picha za kisasa na video kwenye events..

sijawai kua na hela ya kununua smartphone zaidi ya laki na nusu...

ila nimewai kununua vitu vingi sana zaidi ya laki na nusu vinanisaidia maishani kupata kipato kila siku..

kuna vijana wengi sana wa umri wangu wanakujaga kunikopa hela na wanaweka bond smartphone zao za laki 5 hadi milioni..

kama nina hela huwaga nawakopesha ila nawashangaa sana.. na wengi wao kunilipa wanasumbua..

hapa nilipo nina i phone 6 + mtu ameweka bond nimpe laki 3.. na anasumbua kulipa.. namuonea huruma tu kuiuza na akileta ujinga naiuza kweli

nilichojifunza watanzania wengi vijana hawajui kuzungusha pesa.. hela wakipata wanatumia katika vitu ambavyo haviwasaidiii

sababu mimi na tecno yangu ya laki na nusu kila mtandao maarufu nina access bila wasi wasi sawa na mwenye samsung au iphone ya milion 2
Kufananisha hiyo Tecno yako kwba ni sawa na Samsung au IPhone huo ni ukichaa.

Huwezi kufananisha Audi na chaser heti kisa zpte ni saloon car, huu ni ujinga uliopitiliza na ni matumizi mabovu ya akili.

Ni lini uliwahi kuona IPhone inastuck kama hayo matecno yako? Uliona lini iPhone inapata moto kama jiko la mkaa?

Usifananishe IPhone na vitu vya kijinga.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni dhahiri kabisa kuwa bila simu za tecno watu wengi tusingekua tunatumia smartphone.

faida kubwa ya simu za tecno ni kua

*Bei ni rahisi hadi 150k tshs
Hii inasaidia watu kutumia kipato chao kwenye mambo mengine. Yaani mambo anayofaidikia mtu aliyenunua iPhone au Samsung kwa zaidi ya 800k kama vile instagram, whatsapp, jamiiforums, YouTube, snapchat nk.

Ila utakua huna akili vizuri kulinganisha tecno na Samsung au iPhone. Watu wengi tunatumia tecno kwasababu ya uwezo mdogo wa kifedha,hakuna mwenye mapenzi na tecno.

Nikipata hela,tecno nitamuhama.
Tecno spark k7 ya laki 2
-Haina 4g
-ram 1gb
-kioo cha maji ya mchele

Grand prime plus ya laki 2
-ina 4g
-ram 1.5gb
-decent display

Halafu utawasikia fans wa Apple Tecno wengi wanasema zinauzwa bei rahisi.

Laki 2 mpaka 3 ukiispend kwa wachina wengine kama huawei honor series, xiaomi etc unapata simu kali kama tecno ya laki 5 hivi. Mfano ni redmi 5.
 
Tecno spark k7 ya laki 2
-Haina 4g
-ram 1gb
-kioo cha maji ya mchele

Grand prime plus ya laki 2
-ina 4g
-ram 1.5gb
-decent display

Halafu utawasikia fans wa Apple wengi wanasema zinauzwa bei rahisi.

Laki 2 mpaka 3 ukiispend kwa wachina wengine kama huawei honor series, xiaomi etc unapata simu kali kama tecno ya laki 5 hivi. Mfano ni redmi 5.
Iphone SE
2GB RAM
Laki 3.5
 
Ni dhahiri kabisa kuwa bila simu za tecno watu wengi tusingekua tunatumia smartphone.

faida kubwa ya simu za tecno ni kua

*Bei ni rahisi hadi 150k tshs
Hii inasaidia watu kutumia kipato chao kwenye mambo mengine. Yaani mambo anayofaidikia mtu aliyenunua iPhone au Samsung kwa zaidi ya 800k kama vile instagram, whatsapp, jamiiforums, YouTube, snapchat nk.

Ila utakua huna akili vizuri kulinganisha tecno na Samsung au iPhone. Watu wengi tunatumia tecno kwasababu ya uwezo mdogo wa kifedha,hakuna mwenye mapenzi na tecno.

Nikipata hela,tecno nitamuhama.
Hahahahahah
 
Tecno spark k7 ya laki 2
-Haina 4g
-ram 1gb
-kioo cha maji ya mchele

Grand prime plus ya laki 2
-ina 4g
-ram 1.5gb
-decent display

Halafu utawasikia fans wa Apple Tecno wengi wanasema zinauzwa bei rahisi.

Laki 2 mpaka 3 ukiispend kwa wachina wengine kama huawei honor series, xiaomi etc unapata simu kali kama tecno ya laki 5 hivi. Mfano ni redmi 5.
Tecno s1 70000, kuna Samsung ya bei hii? Na iwe mpya.
 
Back
Top Bottom