AMLIGHT
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 1,140
- 843
Muanzisha mada na team tecno wote wako kishabiki sana no matter how many facts watapewa. Ukitazama wote washabiki wa tecno wana sifa moja inayofanana... Wote husema utanunuaje simu ya milioni wakati kuna equivalent ya bei nafuu (tecno).
wakati mwingne co vizuri kuwapondea watu kwa kile kdgo walichonacho na wanachojifariji nacho, hakuna asiyependa kumiliki galaxy S5, au galaxy note, lakn vile mfuko wake haumruhusu ana m3, au p3, na anatumia android, anaona kashamaliza... kama mtu kazoea kusafiri na basi, utamconvice vipi kwamb ndege n bora kuliko basi?