Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,377
Tecno smartphones zimekuwa ni simu zenye hadhi ya juu kwenye soko kutokana na kupendwa sana na watumiaji kiasi cha kununuliwa kwa wingi mno katika soko kuliko smartphone yoyote ile hapa bongo, ila sasa kuna wahuni wameanza kutengeneza feki ambazo zinakuwa ni kero kwenye utumiaji kiasi kwamba mtu utatamani kuitupa.
Suluhisho lipo ili kujua umeuziwa tecno orijino tembelea hii tovuti Genuine Check na kisha uingiza codes
1 KUJUA SIMU ORIJINO Genuine Check INGIZA IMEI (PIGA*06#) UTAPATA CODE AMA CHUKUA BOKSI LA SIMU UTAIONA VILEVILE UTAONA NA VC CODE ZIINGIZE KWENYE TOVUTI YAO NA UTAPEWA JIBU
2.KUTAMBUA BETRI ORIGINAL- INGIA Genuine Check NA UINGIZE SN CODE YA BETRI YAKO AMBAYO IMEANDIKWA KWENYE BETRI YAKO