Tecno mobile Mega Thread

Tecno mobile Mega Thread

Unanishawish Nikanunue P5, Weekend Ijayo

Natumia iphone 5, lakini kiukweli naikubali techno, mshkaji wangu anatumia hiyo P5, nnachopenda zaidi ni kwenye internet connectivity, ina kasi mno hadi naonaga wivu.


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Natumia Tecno p3. Natesa kikawaida.
Nimeacha kutumia modem kwa laptop yangu,sasa natumia Wi-Fi kuunga net tecno p3 ikitumika kama kiunganishi.

Kwenye tecno yangu na peruse page za net kwa wap au desktop.Hapo nauona ukurasa wa internet kwa saizi na componenti zote zilizo kwenye ukurasa kama vile niko kwenye desktop pc.

Ili mradi ukionacho na kukitumia ndicho nikionacho kwenye tecno.Wee niache na tecno p3 yangu.

We ukienda kariakoo kwa mark II,mwingine kwa hamma,mwingine kwa beatle ili mradi tumefuata nyanya sokoni poa tu. Nyanya ni nyanya tu,hazitobadilika eti kwa sababu tumetumia magari tofauti.

Sent through my tecno p3.
 
Natumia iphone 5, lakini kiukweli naikubali techno, mshkaji wangu anatumia hiyo P5, nnachopenda zaidi ni kwenye internet connectivity, ina kasi mno hadi naonaga wivu.


Sent from my iPhone using JamiiForums app

Are you serious au ni ushamba wa iPhone......!!?
 
Unajua hata wanya gongo na matapu tapu wanasababu kama hizi za wanazi wa tecno mwasababu nao wanalewa kama wanywa heineken

Umasikini mbaya sana unasababisha watu kuhalalisha shida na matatizo kuwa halali

kauli kama siwezi kununua vogu wakati kuna vitz za bei rahisi
Au siwezi kupanga nyumba masaki wakati za rahisi zipo kitunda
Au Siwezi kumsomesha mwanangu academic wakati shule za kata zipo rahisi............haya ni mawazo ya masikini

Waswahili wanasema vya rahisi ni ghali

Nenda china kama utakuta kuna mtu anatumia hizo simu..... hakuna, hizo ni special for dumping area kama Africa

Kama wewe ni masikini mwenzangu go for tecno but dont come in here kisha unaongea upuuzi ati tecno ni sawa na akina Samsung and the co......unless uwe hujui kitu kuhusu haya mambo
 
Sio TECNO tu, sitakaa kununua simu yeyote ya Android.

Windows Phone zikifa nahamia Iphone
 
Atakaye/anaye pinga mjadala wa mtoa mada hapo juu simshangai,kwani atakuwa na sababu zifuatazo:-
1.atakuwa na wivu/roho mbaya(hataki wengine wawe na simu yenye uwezo kama yake kwa bei rahisi kwa sababu yeye kanunu bei kubwa)
2.Ushamba(kutaka kumiliki simu yenye vitu ambavyo kikawaida hana matumizi navyo)
3.Ubishi (anatambua kuwa alikurupuka kununua simu ya bei ghali, ila hataki kuuzia wajinga wenzie ili anunue tecno na hela nyingine anunulie vocha za mwaka mzima ila mbishi)
Nb:bila hii tecno m3 nisingeweza kupost huu ukweli.
Hivi we mwenyewe haujishangai......????Unawezaje kulinganisha tecno na samsung....!!!!
Nawashukuru Tecno kwa kusaidia watanzania wengi kumiliki smartphones bt czpend cm zao
 
Hehhe hawa jamaa wa tecno wananifurahishaga kila nkipitia thread zao
 
yeah am serious nenda kwenye website yao unaingiza imei na sn ya cm na betri then utajua ni feki au o.g


May you validate your statement Man ? Give me direct link please !
 
please wanandungu nisaidieni namna ya ku tether tecno m3 bila kutumia usb, nimejaribu but it demand me to inter password. natanguliza shukrani.
 
Maybe itakuwa hvyo but to be specific, nitumie Internet ya kwenye simu to my pc
 
ingia wifi hotspot halafu set up wifi hotspot kisha uweke none
 

Attachments

  • 1403797206132.jpg
    1403797206132.jpg
    14.4 KB · Views: 241
phantom ni kiboko camera na battery ni kiboko naziuza originally with box anaetaka ani PM
mpya with all components including power charge
 
i mean power bank iko poa sanaaa
wote wanao hitaji wani PM mzigo ni mpyaaa na originals with waranty pici zimo nyingi za kutosha
 
Nimeingia,pia nimeistudy screenshot uliyonipa kama muongozo..hapo kwnye wife hotspot hakuna sehemu inayoonesha ni set "none" but the only thing i can see is a switch of/on key. Maelekezo zaid please, me mgeni na hizi mambo franco15
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom