Hahahha..
Mkuu snipa hata mimi natumia Tecno pad min,lakin n kwasababu ya umasikin tu,ningekua na ela ningenunua samsung tab 3..
Somtymz tusiwe wazalendo wa kijinga kwa vtu tunavyotumia,tecno hampat samsung..
taja simu ya tecno
unayoitaka wewe nitaprove hawana kiwanda na hio ya hongkong sijasema
mimi arif chowdry ndio aliosema
wakuu nawashukuru kwa ushauri wenu kijumla nmeachana na tecno.
Hahahha..
Mkuu snipa hata mimi natumia Tecno pad min,lakin n kwasababu ya umasikin tu,ningekua na ela ningenunua samsung tab 3..
Somtymz tusiwe wazalendo wa kijinga kwa vtu tunavyotumia,tecno hampat samsung..
Mi siku zote nasimamia ukweli !
Na wengi wataendelea hivi hivi kuniita Tecno / anti tecno ila sawa sina neno !
Ukiangalia ata mleta mada nimemshauri asinunue Hiyo Tecno Z !
Binafsi chipset huwa siiweki sana kwenye recommendation ya simu yakumwambia mtu anunue !
Unajua kuna watu wanaotumia simu kama Laptop na wale wenye matumizi yakawaida !
Sasa huyu nae mwenye matumizi yakawaida nimwambie asinunue Tecno kisa ni mediatek chipset how fool would i be !
If there's be a massage there like this
''this application can't be installed on your phone ... :Reason: Its use Mediatek chipset''
Hapo ningemshauri huyu anaetumia simu ku make calls kuingia whatsapp na viber asinunue simu ya aina hiyo !
!
snipa
Hahahha..
Mkuu snipa hata mimi natumia Tecno pad min,lakin n kwasababu ya umasikin tu,ningekua na ela ningenunua samsung tab 3..
Somtymz tusiwe wazalendo wa kijinga kwa vtu tunavyotumia,tecno hampat samsung..
Mkuu ingawa wataalam Wanaiponda Techno mim nataka kununua hiyo MN PAD ya TECHNO hebu nambia ikoje matumizi yangu ni kupiga nakuingia Kwenye NET tu..! Hebu nishawishi nishauri itanifaa? au ndo ilimradi...!
Hii ni kutokana na wabongo kuwa na maneno mengi tuu, mtu anaiponda CPU kisa ni mediatek, This is fool! hao wanaonyesha kufahamu sana mambo ya Chipset wenyewe wanasoma kutoka kwenye forums za wengine , yaani hakuna alienda inDeep kuhusu chipset na MCU systems. Kiufupi ni kwamba sio kila mediatek ni mbaya, ndio maana zipo model tofauti, sio kila ARM ni bora zipo ARM cpu hadi za kwnye EFD machines, cha pili ni kwamba sio kila version mpya ya CPU ipo faster au bora kuliko toleo la zamani. Hizo simu zingine zina cpu zenye umaarufu lakini wanakunyima vitu vingine vya muhimu kama vile RAM, Dual Camera, Dual sim etc.
tukubaliane kwamba kila simu ina ubora wake na mapungufu yake. na kila mtu anahitaji simu kutokana na matumizi yake..
wapo watu wengi waliosoma IT na CS ambao kwenye kuongea wapo vizuri kinoma lakini sasa mlete kwenye application... ni majanga!! kwa wewe unayeomba ushauri kuhusu simu ipi ni bora chukua ushauri wa JF then ongezea na akili yako, tafuta mtu wa karibu mwenye simu husika na akupe Real life experience na ufanye maamuzi sahihi.
Ni hayo tuu
We mwenzetu unayatoa wapi haya kama unadai wenzako wanatoa kwenye blog?
haijalishi ukweli unautoa wapi, lakini utasimama hivyo
Unadhani kila kitu lazima uende darasani
tetea hoja zako kwa hoja
Matumizi ya kawaida ndio yapi? kesho ikitoka apps inataka os kuanzia kit kat huyu mwenye mediatek isio upgrade os inakuajeMi siku zote nasimamia ukweli !
Na wengi wataendelea hivi hivi kuniita Tecno / anti tecno ila sawa sina neno !
Ukiangalia ata mleta mada nimemshauri asinunue Hiyo Tecno Z !
Binafsi chipset huwa siiweki sana kwenye recommendation ya simu yakumwambia mtu anunue !
Unajua kuna watu wanaotumia simu kama Laptop na wale wenye matumizi yakawaida !
Sasa huyu nae mwenye matumizi yakawaida nimwambie asinunue Tecno kisa ni mediatek chipset how fool would i be !
If there's be a massage there like this
''this application can't be installed on your phone ... :Reason: Its use Mediatek chipset''
Hapo ningemshauri huyu anaetumia simu ku make calls kuingia whatsapp na viber asinunue simu ya aina hiyo !
!
snipa
Matumizi ya kawaida ndio yapi? kesho ikitoka apps inataka os kuanzia kit kat huyu mwenye mediatek isio upgrade os inakuaje
Tatizo hatutaki ushauri wa kitaalamu mediatek tunauziwa ghali kuliko uhalisia
Utanunua tecno yenye kitkat. Na hii ndio biashara kwani samsung zote zinafaa ku upgrade hadi kitkat? Siku hizi hakuna kufunga ndoa na simu wala computer
Matumizi ya kawaida ndio yapi?
kesho ikitoka apps inataka os kuanzia kit kat huyu mwenye mediatek isio upgrade os inakuaje
Tatizo hatutaki ushauri wa kitaalamu mediatek tunauziwa ghali kuliko uhalisia
wakuu nikiwa naangalia kombe la dunia. Kipindi cha na mapumziko nimeona tangazo la toleo jipya la tecno ambayo ni tecno phantom Z.
na kwa haraka baada ya kuigoogle nimepata taarifa hizi...
octa core
processor and 16mp
camera..
mwenye taarifa zaidi atufamishe ubora na ulegevu wa hii simu.
Ahsanta.
cc snipa chief-mkwawa C6 na wengineo wenye ufahamu.
Mkuu ni Simu gani yenye uwezo mzuli pia inatunza chager.. na inaubola mzuli mimi npo muscat Oman.. Mwakan Nataka nije Tanzania ila nataka kuja na Simu Kali Sijajua ninunue.. simu gani itakayo nifaa