Tecno mobile Mega Thread

Tecno mobile Mega Thread

Tweetylicious

Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
17
Reaction score
11
Kutokana na kuwa thread nyingi zimekuwa zikifunguliwa na nyingi zikizungumzia yaleyale, nimeonelea kuziunganisha ili kupata thread moja yenye kila kitu kuhusu simu za tecno

wakuu naomba msaada mwenye kuilewa hii simu ya Tecno phantom.nasikia ina specifications kama za samsung galaxy S3. price is good but is it worth buying kwa mwenye nayo au anayeitumia i would appreciate the review and comments on ys good or bad features.thanks in advance.

wadau hebu tuwekane sawa maana sisi timu tecno tunapigwa majungu sana na hawa wa upande wa pili, NI KITU GANI HASA AMBACHO SIMU ZAO SIJUI GALAXY SIJUI HTC SIJUI IPHONE NGAP NGAP HUKO SIJUI LUMIA NGAP NGAP HUKO ZINA FANYA AMBACHO TECNO ZETU HAZIFANYI????

mnatupigia kelele weee wakat unachokifanya kwako na mim nafanya vile vile

Kuweni wapole, kubalin mmepoteza hela tu, ubora n ule ule, uwezo n ule ule, tofaut n makampun tu na gharama

Mungu mbariki mchina aendelee ku produce hii bidhaa, hehehe Simu inayozalishwa na samsung yenye thaman ya lak 6 kendelea n= Tecno ya lak na nusu, Tuambizane n nini mnafanya kwenye cm zenu sisi familia ya Tecno hatuwez

Nina tecno 3 zimenifia. Mbaya zaidi haujaisha hata mwaka.. nina s5 imekufa touch na mic, p5 imekufa lcd na m3 imepasuka lcd na touch. Kwa hiyo nina majanga ya tecno.

Tecno smartphones ni miongoni mwa simu zinazokosesha raha makampuni makubwa kama samsung hapa bongo, hili kampuni limefanikiwa kupenyeza kiakili bidhaa zake kwenye soko, hakika hutajutia pesa yako maanaenjoy sana, vijana wengi unakuta life limemchapa ila mfukoni ana simu ya milioni huu ndo nauita ujinga, ya nini ununue kitu cha milioni wakati kuna smartphone za bei rahisi tena original, hizi ndo sababu za kununua tecno:

1.Unapata bidhaa kwa bei rahisi , watu wote wa juu na chini wanauwezo wa kuinunua bei ikianzia laki hadi laki nne kulingana na sifa za simu

2.Ubora na Ugumu ni wa hali ya juu huyu ni mchina original sio wale kina -tide wale wanaosema hazidumu naona wanafki, watu wanadumu nazo miaka na miaka

3.Unaweza kuichaji popote hata kwenye basi maana unapewa kifaa kinaitwa power bank ambacho hutunza nguvu za kuchajia simu, hivyo hata safari za vijijin itafaa uende na hii simu

4.Zina Mapungufu madogo sana ukilinganisha na zile za makampuni makubwa kama HTC ambazo huuzwa kwa bei ghali sana kwenye mamilioni , mwisho wa siku unakuta vitu ni vidogo sana vilivyoizidi tecno mfano labda kuna simu zinakunjika ila tecno haiwez na kuna simu nyingine waweza tumia kwenye maji ila simu nyingi kama tecno haziwezi, na mapungufu mengine madogo sana

5.Ni simu iliyokaa kimawasiliano sana maana inapiga simu hata kwa njia ya internet na pia ina application kama whatsapp na facebook bila kusahau hii simu imeongezewa sehemu ya kuweka laini ya pili.
 
wakuu naomba msaada mwenye kuilewa hii simu ya Tecno phantom.nasikia ina specifications kama za samsung galaxy S3. price is good but is it worth buying kwa mwenye nayo au anayeitumia i would appreciate the review and comments on ys good or bad features.thanks in advance.

Nzuri sana hiyo,hutajutia. Kuna aina mbili phantom na phantom A+ (hizo zote ni Techno F7)
 
Aliekwambia ina specs kama s3 kakudanganya, kabla ya hapo ulikua unatumia simu gani?
 
dah...chief nilikua natumia samsung galaxy duo

uki upgrade kwenda simu yoyote kati ya hizo utaenjoy ila s3 ni nzuri zaidi hasa ukiwa si mtaalamu wa simu.

internal memory ya tecno ni 4gb wakati samsung ni 16gb/32gb/64gb na android inachukua space kubwa. kwenye tecno utapata kama 2gb tu internal. wakati samsung s3 yenye uwezo mdogo ya 16gb utapata around 13gb

mwanzoni utaona kama zipo sawa ila unavyoijua android na kueka apps nyingi tecno itajaa, hata hapa jukwaani matatizo mengi ni ya memory ndogo.

kitu chengine ni suport. s3 inakuja na android 4 ina update ya 4.1 na ishakua confirmed itapata hadi android 4.3 pengine ikapata 4.4 na kuendelea. simu kama tecno za kichina hupati suport version inayokuja na simu ndo hio hio hadi iharibike

specs wise vitu kama processor ipo juu kama unacheza games na unaistall apps kubwa utaihitaji ila kama unamatumizi madogo zote ni nzuri.

mwisho ni bei. s3 zilizo kwenye mint condition zinapatikana kwa laki 5 hadi 6, na phantom nafkiri ni 450,

kama unahela go for s3
 
Eti kaka chief-mkwawa hivi mnavosemaga ukiwa mtaalamu wa simu unamaana ipi? ingekua ktk compt ningesepa wale wa kupiga code ma c++ programng etc ila kwani kwenye simu eg android os kuna hayo mambo? au utaalamu wenyewe ndio kuweka ma apps mengi? au kufungua ie kua fundi wa hardware? naomba kdg niweke wazi mnavosema "mtaaamu wa simu" maana wengi tunapenda kutumia simu kwa mawasiliano calls msg au net basi, kama kuna utaalamu mwngne ebu tudokeze tuweze jifunz taratibu. Sorry kama nmetoka nje ya topiq.
 
mtu akija na tatizo simu yangu imejaa memory anaambiwa hv
1. hamisha apps kwenda memory card
2. root simu yako utaenjoy
3. clear cache za apps zinamaliza memory
4. tumia app flan ya task manager ku optimize simu

yapo mengi ila majibu yatakua ya namna hio. mtumiaji wa simu wa kawaida hasa wanawake wa kibongo ataona unamzengua tu maana hatakuelewa ye anajua vitu basic tu.

kuepusha hayo ndio maana hapo juu nikaipa shavu s3 maana mtumiaji wa kawaida gb 13 zinamtosha kueka vitu vyake tofauti na gb 1.45 za tecno
 
Tecno ni majanga kwenye intrn memory. Mi kilasiku hapa naoptimize na ku clear data la sifyo stack za kufa mtu
 
uki upgrade kwenda simu yoyote kati ya hizo utaenjoy ila s3 ni nzuri zaidi hasa ukiwa si mtaalamu wa simu.

internal memory ya tecno ni 4gb wakati samsung ni 16gb/32gb/64gb na android inachukua space kubwa. kwenye tecno utapata kama 2gb tu internal. wakati samsung s3 yenye uwezo mdogo ya 16gb utapata around 13gb

mwanzoni utaona kama zipo sawa ila unavyoijua android na kueka apps nyingi tecno itajaa, hata hapa jukwaani matatizo mengi ni ya memory ndogo.

kitu chengine ni suport. s3 inakuja na android 4 ina update ya 4.1 na ishakua confirmed itapata hadi android 4.3 pengine ikapata 4.4 na kuendelea. simu kama tecno za kichina hupati suport version inayokuja na simu ndo hio hio hadi iharibike

specs wise vitu kama processor ipo juu kama unacheza games na unaistall apps kubwa utaihitaji ila kama unamatumizi madogo zote ni nzuri.

mwisho ni bei. s3 zilizo kwenye mint condition zinapatikana kwa laki 5 hadi 6, na phantom nafkiri ni 450,

kama unahela go for s3

mkuu plz ukiweza hata ni inbox wapi naweza pata s3 kwa izo price za laki 5 hadi 6 mwisho wa mwezi uu i want one maana nna galaxy s-plus ambayo udogo wa screen unaninyima raha ya games na camera haina flash!!!
 
Mimi naitumia phantom A+ kiukweli kwa matumizi yangu kama super sport,word & exell,game,internet 3G na mambo mengine kama movie name hd na ubora was machina hiyu kiukweli na enjoy sana.Ila kwenye spec ya internal memory ni ya kawaida lakini mpaka salsa sijajaza ipo safi sana,nimehama kwenye window za Nokia na sasa brand ni huyu machina was techno maana hats Nokia niliotumia made INA China,suruali,viatu mpaka boksa made in China....hakwepeki machina mpaka kwenye hizo Nokia name Samsung.kwa phantom machina katisha sana
 
uki upgrade kwenda simu yoyote kati ya hizo utaenjoy ila s3 ni nzuri zaidi hasa ukiwa si mtaalamu wa simu.

internal memory ya tecno ni 4gb wakati samsung ni 16gb/32gb/64gb na android inachukua space kubwa. kwenye tecno utapata kama 2gb tu internal. wakati samsung s3 yenye uwezo mdogo ya 16gb utapata around 13gb

mwanzoni utaona kama zipo sawa ila unavyoijua android na kueka apps nyingi tecno itajaa, hata hapa jukwaani matatizo mengi ni ya memory ndogo.

kitu chengine ni suport. s3 inakuja na android 4 ina update ya 4.1 na ishakua confirmed itapata hadi android 4.3 pengine ikapata 4.4 na kuendelea. simu kama tecno za kichina hupati suport version inayokuja na simu ndo hio hio hadi iharibike

specs wise vitu kama processor ipo juu kama unacheza games na unaistall apps kubwa utaihitaji ila kama unamatumizi madogo zote ni nzuri.

mwisho ni bei. s3 zilizo kwenye mint condition zinapatikana kwa laki 5 hadi 6, na phantom nafkiri ni 450,

kama unahela go for s3
asante sana kwa ushauri chief nimekusoma...i really needed that kwasababu sitaki kukurupuka atleast unachukua kitu reliable.shukran
 
mkuu plz ukiweza hata ni inbox wapi naweza pata s3 kwa izo price za laki 5 hadi 6 mwisho wa mwezi uu i want one maana nna galaxy s-plus ambayo udogo wa screen unaninyima raha ya games na camera haina flash!!!

kuna duka linaitwa swahili lipo mtaa wa swahili yanapopaki magari ya mwenge karibia na sokoni kkoo unapata pale
 
wakuu naomba msaada mwenye kuilewa hii simu ya Tecno phantom.nasikia ina specifications kama za samsung galaxy S3. price is good but is it worth buying kwa mwenye nayo au anayeitumia i would appreciate the review and comments on ys good or bad features.thanks in advance.

hii simu ni kiboko yake kaka kama galaxy s3 hivy hivy.Battery safii,camera safii 8.0 auto focus.nimetumia kwa muda naona inafaa.Chukua tu kaka bei isizidi 480,000/=
 
Hawa Tecno ni balaa kila wiki ni lazima waachie kitu kipya, wanafyatua kama hawana akili nzuri vile

[TABLE="width: 660"]
[TR]
[TD][h=3]Information[/h][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2G Network[/TD]
[TD]GSM 900 / 1800[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3G Network[/TD]
[TD]HSDPA 850 / 1900[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]4G Network[/TD]
[TD]No[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]SIM[/TD]
[TD]Dual mini SIM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Status[/TD]
[TD]Available April 2014[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][h=3]Body[/h][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Dimensions[/TD]
[TD]158 x 78.5 x 8.4mm[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Keyboard[/TD]
[TD]Touchscreen[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Colors[/TD]
[TD]White, Black, Yellow[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Cover[/TD]
[TD]Plastic[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][h=3]Display[/h][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Type[/TD]
[TD]Capacitive touchscreen with 16,000,000 colors[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Size[/TD]
[TD]5.5 inches, 720 x 1280 pixels, 267 pixels per inch (PPI)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][h=3]Memory And OS[/h][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Card slot[/TD]
[TD]MicroSD, up to 32GB[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Internal[/TD]
[TD]16GB[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]OS[/TD]
[TD]Android 4.2.2 Jelly Bean[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Processors[/TD]
[TD]1.5GHz hexa-core CPU, MediaTek MT6589 chipset[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]RAM[/TD]
[TD]2GB[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][h=3]Audio[/h][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Alert types[/TD]
[TD]Vibration, MP3 ringtones[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Loudspeaker[/TD]
[TD]Yes[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Audio port[/TD]
[TD]3.5mm jack[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][h=3]Connectivity[/h][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2G[/TD]
[TD]GPRS – up to 85.6 kbps; EDGE – up to 236.8 kbps[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3G[/TD]
[TD]Up to 22.2 mbps downlink; Up to 5.76 mbps uplink[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]4G[/TD]
[TD]No[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]WIFI[/TD]
[TD]Wi-Fi 802.11 b/g/n, WIFI hotspot, WIFI direct, dual-band[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Bluetooth[/TD]
[TD]Version 3.0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]GPS[/TD]
[TD]A-GPS[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]NFC[/TD]
[TD]No[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]USB[/TD]
[TD]MicroUSB v2.0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][h=3]Camera[/h][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Primary[/TD]
[TD]13MP, up to 4128×3096-pixel pictures, Geo-tagging, auto focus, face detection camera with LED flash[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Video[/TD]
[TD]1080p@60fps[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Secondary[/TD]
[TD]5MP up to 2592×1944 pixel pictures[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][h=3]Battery[/h][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Capacity[/TD]
[TD]2430mAh Li-Ion battery[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Stand-by[/TD]
[TD]N/a[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Talk time[/TD]
[TD]N/a[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Music play[/TD]
[TD]N/a[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][h=3]Other Features[/h][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Sensors[/TD]
[TD]Accelerometer, Compass, Ambient light sensor[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Messaging[/TD]
[TD]SMS, MMS, Email, Push Mail, IM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Browser[/TD]
[TD]HTML5[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Java[/TD]
[TD]No[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]- SNS integration
- MP4/MPEG4/H.263/H.264 player
MP3/WAV/eAAC+/AC3/FLAC player
- Document viewer
- FM radio
- Image viewer
- Voice memo/dial/command
- Predictive text input
- Google Search, Whatsapp, Google Maps, Gmail,
YouTube, Calendar, Google Talk, Facebook, Whatsapp[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][h=3][/h][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Back
Top Bottom