Tecno m5

KUN

JF-Expert Member
Oct 17, 2011
382
80
Wakuu ninatumia simu aina ya Tecno M5 ila imekuwa ukisumbua kwenye battery, haikai na chaji kwa mda mrefu maximum 1.5 days! Nimejaribu kutafuta beattery kwenye maduka lakini sijafanikiwa kupata, kwayeyote anayejua wapi naweza pata battery kwa hapa Dar es Slaam naomba anielekeze.

Asante sana.
 
mkuu siku moja na nusu? Mimi yangu kila siku jioni lazima niicharge
 
Hiyo ni kawaida kama unatumia internet pia hizo Techno za Android hawajafanikiwa katika betri.
 
unaweza post details za battery? kama ni copy and paste ya kampuni nyengine naweza kukusaidia aina ya extended batteries.
 
Mkuu hongera sana yako inakaa masaa 36, mimi ninacharge kila siku jioni kama vipi tubadilishane.
 
Hiyo kawaida sana kwa hizo operating system! Kupunguza labda washa internet tu pale unapohitaji kuitumia.
 
Back
Top Bottom