Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,392
Shida ya Xiaomi upatikanaji wake ni mgumu,Ila Kama wakija Bongo haki ya Mungu Tecno mbona atafungasha virago.
Sema sijawahi tumia hizo Xiaomi nasikia tu watu wakizisifia,Ila ntajitahidi niagize hata moja nizijaribu sababu nasikia kwenye battery ziko vizuri
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Yapi tena hayo MkuuYaliyonipa huko tecno ni siri yangu, siku nikigeuka huko nigeuke jiwe la chumvi.
kuhusu chaji sijaona simu ya kumkaribia TecnoNjooni Samsung hutojutia hata kidogo ☻mimi huwa situmii sana mtandao lakini toka jana simu niliijaza full mpaka sasa ina asilimia 59% , Huwezi jutia kumiliki Samsung [R]Naipenda sana simu yangu wala.sichoki kuitumia ..
NimekuPM MkuuXiaomi zinapatikana kiurahisi kabisa mkuu. Ingia Aliexpress.com search product unataka then lipia kwa visa au mastercard
Mzigo utatumwa kwa anuani yako na u can track it online kujua package imefikia wapi. On top of that, unapata na guarantee ya kurudishiwa hela incase package isikufikie. Nimeanza kununua products online tangu 2008 na sijawahi ibiwa.
Tatizo kubwa ni mwamko mdogo wa ndugu zangu waTZ kununua vitu online kwa hofu ya kuibiwa. Ndugu yangu Mwl.RCT anaweza kukusaidia kununua chochote mtandaoni kama huwezi fanya mwenyewe.
Ndio. Hawajiongezi tu.Wewe unakataa
hakuna simu mbaya kama TECNO & ITELNdio. Hawajiongezi tu.
Niaina gani Samsung yako mkuuNjooni Samsung hutojutia hata kidogo ☻mimi huwa situmii sana mtandao lakini toka jana simu niliijaza full mpaka sasa ina asilimia 59% , Huwezi jutia kumiliki Samsung [R]Naipenda sana simu yangu wala.sichoki kuitumia ..
Hebu nisaidie napenda kununua online tatizo uwogaXiaomi zinapatikana kiurahisi kabisa mkuu. Ingia Aliexpress.com search product unataka then lipia kwa visa au mastercard
Mzigo utatumwa kwa anuani yako na u can track it online kujua package imefikia wapi. On top of that, unapata na guarantee ya kurudishiwa hela incase package isikufikie. Nimeanza kununua products online tangu 2008 na sijawahi ibiwa.
Tatizo kubwa ni mwamko mdogo wa ndugu zangu waTZ kununua vitu online kwa hofu ya kuibiwa. Ndugu yangu Mwl.RCT anaweza kukusaidia kununua chochote mtandaoni kama huwezi fanya mwenyewe.
Simu sio charge mzee. Mnakosea sanakuhusu chaji sijaona simu ya kumkaribia Tecno
Hebu nisaidie napenda kununua online tatizo uwoga
Simu sio charge mzee. Mnakosea sana
Tatizo letu watz matumizi ya simu ni whatsap na insta. Ndio maana suala la chaji tunalizingatia.
Kwa mtu mwenye matumizi hasa ya simu, hawezi nunua tekno maana uwezo wa kufanya kazi ni mdogo
Mbali na yote, ni wapi unapoishi pasipokua na umeme kiasi cha kuogopa kununua samsung ya kuchaji mara mbili kwa siku na ukafanya mambo yako bila chenga?
Kusema kweli huwa sishtuki kuona mtu ana tecno hata ingekua na sura nzuri vipi. Maana matatizo yake yanafanana