Sasa unataka tumia miez mingapi mkuuHabar za mida hi wana jamvi. Naandika uzi huu nikiwa na hasira sana hizi tecno k7 ni mbovu na ni moja kati ya product mbovu zilizowahi kuingia apa nchin yan nimeitumia miez mitano sasa hiv majanga matupu kila nikigusa tsap haifai najuta sana kununua hi product
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ina hadhi yako kwa vile ulinunua na kutumia. House girl pia anahadhi. Acheni dharauKumbe tuko wengi, hata mimi INA miezi 3 lakini sasa najiandaa kumpatia house girl maana naona haina hadhi yangu kabisa. Ina stack balaa!!
Tecko ni nzuri tu. Sema watu wengine. Kitu kidogo tu inawashinda kusove. Kwa mfano kajaza mavideo mpaka CM inashindwa kuvumilialini TECNO walitoa simu nzuri?
Habar za mida hi wana jamvi. Naandika uzi huu nikiwa na hasira sana hizi tecno k7 ni mbovu na ni moja kati ya product mbovu zilizowahi kuingia apa nchin yan nimeitumia miez mitano sasa hiv majanga matupu kila nikigusa tsap haifai najuta sana kununua hi product
Samsung note 3 zinakula sana moto
A5 2017samsung ya aina gani
Wewe unakataaTecko ni nzuri tu. Sema watu wengine. Kitu kidogo tu inawashinda kusove. Kwa mfano kajaza mavideo mpaka CM inashindwa kuvumilia
I
Kama SIM haitastaki ni nn. Mbona me yangu haijawahi sumbua na inamda zaidi ya mleta mada.[emoji23][emoji23]
Mke wa mtu *****MKUU MNUNULIE MAMA MAURIN SIMU YA WHATSAP AU ANATUMIA NAMBA GAN WHATSAP, NIMEMCHEK KWA NAMBA YA TIGO HAYUPO WHATSAP
Hi hi hihi hi
Joseverest
HahahahahahahaSimu inaitwa SPARK,Kwa kiswahili ni CHECHE hapo unategemea itakua vp?
Mkuu Ila hizo simu hazina Ubaya wa kiasi hicho[emoji38] Kama watu wanavyozitangazaga(sababu nishatumia Phantom 6 na J8) sema tu shida ni kwamba utakuta Mtu kanunua cm ya laki na Nusu Ina Ram 1GB na Storage 8GB anataka aijaze maApps Kama Simu ya laki 5 au simu yenye Ram 3GBTECHNO is synonymous na ubaya
Mkuu Ila hizo simu hazina Ubaya wa kiasi hicho[emoji38] Kama watu wanavyozitangazaga(sababu nishatumia Phantom 6 na J8) sema tu shida ni kwamba utakuta Mtu kanunua cm ya laki na Nusu Ina Ram 1GB na Storage 8GB anataka aijaze maApps Kama Simu ya laki 5 au simu yenye Ram 3GB
Shida yangu na Tecno ilikua kwenye Display
Shida ya Xiaomi upatikanaji wake ni mgumu,Ila Kama wakija Bongo haki ya Mungu Tecno mbona atafungasha virago.Kuna watu kibao nishawaona wanatumia hizi simu...kwa kweli sijawahi elewa kwanini wanatumia huu mshipa wakati kuna simu more durable kama Xiaomi na zina engine imara na bei ndogo. Tena unapata stable ROMs with regular OTA updates