Samsung inategemea na aina, ni Samsung aina gani yako?Njooni Samsung hutojutia hata kidogo ☻mimi huwa situmii sana mtandao lakini toka jana simu niliijaza full mpaka sasa ina asilimia 59% , Huwezi jutia kumiliki Samsung [R]Naipenda sana simu yangu wala.sichoki kuitumia ..
samsung ya aina ganiNjooni Samsung hutojutia hata kidogo ☻mimi huwa situmii sana mtandao lakini toka jana simu niliijaza full mpaka sasa ina asilimia 59% , Huwezi jutia kumiliki Samsung [R]Naipenda sana simu yangu wala.sichoki kuitumia ..
hahahah dada uliwaza kama mimi....umeniwahiMessage received by Mama Maurin
Hahahaaahahahah dada uliwaza kama mimi....umeniwahi
[emoji125] [emoji125]Acha bc
Samsung note 3 zinakula sana motoNjooni Samsung hutojutia hata kidogo ☻mimi huwa situmii sana mtandao lakini toka jana simu niliijaza full mpaka sasa ina asilimia 59% , Huwezi jutia kumiliki Samsung [R]Naipenda sana simu yangu wala.sichoki kuitumia ..
Wataifuta tu kuwa mvumilivuNiliiripot ifutwe ila bado inadunda tu