Mathias1981
Member
- Jul 10, 2011
- 69
- 19
Habari zenu wakuu,
Nahitaji msaada wenu juu ya simu iyo tajwa hapo juu, imeanza tatizo la kujizima na kujiwasha pindi ninapotaka kupokea simu iliyopigwa, na pia wakati flani namba zinajionyesha bila jina ingawa zimehifadhiwa ktk kitabu cha simu, mwenye suluhisho tafadhali anisaidie.