Mamaaaa hilo li cm ni balaaa bovu bovu kamanini kiufupi tecno chache sana zipo vizuri labda hiyo l8 nyingine ni takataka kuchezea pesa tu
Yaaani kama itel p12 ni kiboko ile simu,inatunza chaji hatari kama sio mtumiaji sana unakaa nayo hata siku 3 bila kuchaji,ila kama ni wale simu inashinda mkononi ni siku mbili au moja na nusu bila kuchaji,kwnza betri ni ya ndani na ina 5000mAhSimu inayokaa Na chaji itel ,utojutia fedha yako ,
Basi iyo p12 vivu nnayo naichajigi usiku mana mchana haiwezi jaa na mi nataka kuitumiaIsitoshe itel zinaingiza chaji haraka sanaaaa
Mweka mada kataka ubora wa battery tu,ukaaji wa chajiWengi mnatoa maoni kulingana na kuwa hizo simu mmekaa nazo, Sawa lkn....! Hili jukwaa inabidi muweke na nyama kidogo kuhusu ubora wa simu tajwa ili mwingine aweze kupata mwanga wa kujua anaenda ktk chaguo gani.
Ilinifia sina hamu,ilizima tu bila sababu na haikuwahi kuwaka mpaka leo,iliniuma mana ilikua bado mpya mpya tehMamaaaa hilo li cm ni balaaa bovu bovu kamanini kiufupi tecno chache sana zipo vizuri labda hiyo l8 nyingine ni takataka kuchezea pesa tu
Makopo tu hayo matatizo kila mdaTecno again...fundi mzuri wa tecno yupo aggrey pale... Najaribu kujibu thread yako ya mwezi wa 7
Mweka mada kataka ubora wa battery tu,ukaaji wa chaji
we muache mi nilinunua tecno cx air january.. Sasa hiv nimeiacha carlcare tecnoMakopo tu hayo matatizo kila mda