Simu gani betri inakaa zaidi ya saa 12 unapoitumia mfululizo?

Almost simu zote latest Kwa sasa Zina UWEZO huo kama matumizi ni ya kawaida

Hakikisha tu unanunua simu mpya iliyotoka mwaka huu Ikiwa FULLBOX sio USED
Ninasoma sana na kuandika sana kwenye simu, simu ni maktaba yangu, kwa matumizi ya kawaida kama unavyosema nadhani nitalazimika kuwa na gadget nyingine kama power bank ili kuboost betri kitu ambacho najaribu ku-avoid.

Binafsi siangalii urembo au usasa wa simu ninachoangalia ni uwezo wa betri (milliAmpere hour) kukaa na chaji kwa zaidi ya 12 hrs. Versions za zamani za TECNO zilikuwa na uwezo huo ila za sasa zimechakachuliwa sijui!?
 
Simu yangu GALAXY S7 edge+ ilivunjika kioo
Hii simu nimeitumia zaidi ya miaka 5

Sasa nikawa Sina BUGERT ya kununua S SERIEZ yenye Kuanzia 128gb Kwa sasa( nilikuwanahitaji Kuanzia galaxy S21 kuendelea)

Ofisini nikanunuliwa INFINIX Hot 30i naona inakaa Chaji sana 7bu mpk ninarudi nyumbani sa 2 au 3 Bado ipo na 30% au 20% ofisini muda wote ipo na WI-FI CONNECTED au nikiwa around DATA ON tofauti na ilivyokuwa Samsung yangu nilikuwa nachaji mara 2 Kwa siku na Mimi napenda sana kuangalia VIDEO za REEL kupitia FACEBOOK

Hvyo nakushauri chukua matoleo ya SAMSUNG A seriez kulingana na pesa yako ya mwaka huu lkn
au hizo INFINX hot 30 au 40 zitakufaa 7bu bei zake ninafuu 280000 mpk 320000
Kwa ishu zako zitakufaa sana hutapata tabu ya battery kuisha
 
Una confidence ya hali ya juu
yani hilo neno umeliandika kwa herufi kubwa.
 
Back
Top Bottom