Tecno ipi inakaa na chaji muda mrefu?

Mkuu sijutii kutumia l8 plus ni noma kwenye chaji saa 24 upo hewani na mtandaon unatimba mwanzo mwisho hata una bando la 5GB linaisha na bado inaomba lingine
 
Simu inayokaa Na chaji itel ,utojutia fedha yako ,
Yaaani kama itel p12 ni kiboko ile simu,inatunza chaji hatari kama sio mtumiaji sana unakaa nayo hata siku 3 bila kuchaji,ila kama ni wale simu inashinda mkononi ni siku mbili au moja na nusu bila kuchaji,kwnza betri ni ya ndani na ina 5000mAh
 
Wengi mnatoa maoni kulingana na kuwa hizo simu mmekaa nazo, Sawa lkn....! Hili jukwaa inabidi muweke na nyama kidogo kuhusu ubora wa simu tajwa ili mwingine aweze kupata mwanga wa kujua anaenda ktk chaguo gani.
 
Wengi mnatoa maoni kulingana na kuwa hizo simu mmekaa nazo, Sawa lkn....! Hili jukwaa inabidi muweke na nyama kidogo kuhusu ubora wa simu tajwa ili mwingine aweze kupata mwanga wa kujua anaenda ktk chaguo gani.
Mweka mada kataka ubora wa battery tu,ukaaji wa chaji
 
Mamaaaa hilo li cm ni balaaa bovu bovu kamanini kiufupi tecno chache sana zipo vizuri labda hiyo l8 nyingine ni takataka kuchezea pesa tu
Ilinifia sina hamu,ilizima tu bila sababu na haikuwahi kuwaka mpaka leo,iliniuma mana ilikua bado mpya mpya teh
 
Techo ni techno tuu ikiwa mpya mbona charge fresh sana

Ikimaliza mwaka hapo haijalishi brand kwa nilizokutana nazo mm...........!

Ni kwa Uwelewa wangu tu lakini maana me mwenyewe natumia samsung huku napambana na hali yangu........!
 
Mi natumia L9+ ina 5000mh. Yaan sawa na powerbank. Huwa nashinda utube kwa single charge. Inaweza kuplay utube video kwa masaa nane nonstop
 
Back
Top Bottom