Tecno hata iwe ya bei gani ni tatizo tu

Tecno hata iwe ya bei gani ni tatizo tu

Nilikutana na Tecno nyingine ambayo haiflashiki, yaani ukiiflash inamaliza process zote lakini ikiwaka iko vilevile sijui kama kuna mtu anaweza nisaidia hiyo shida.
Sp flashtool imeshindwa, Avenger imeshindwa ila Miracle box naona inaisoma fresh na kuiflash bila error yoyote kujitokeza lakini ikimaliza na ukiiwasha iko vile vile.
 
1. Unaweza kudisable ads hivyo ukawa hukutani kabisa na ads

2. Unaweza kuoverrite screen resolution ya simu yako hivyo kuweza kuplay video ya youtibe yenye resolution yoyote hata kama ni 8K wakati resolution ya simu yako ni 720p

3. Background play, autorepeat na takataka zingine nyingi



Mimi nmeroot simu yangu ndio natumia Vanced youtube. Ila nadhani pia ipo version kwa device ambazo hazipo rooted.

Ndo maana nikasema hadi uwe mjanja wa simu.
Mkuu hiyo vanced youtube ikoje ina future gani zaidi kuliko go na ya kawaida?? Naiomba mkuu nipe link
 
Mi nilijaribu kununua tecno, baada ya Kubadilisha toka huawei, nilijuta kununua tecno, ikabidi nihamie kwa Samsung
Tecno yoyote ni Poor end product, lakini Samsung ni high end product.
Siwezi rudi tena kununua simu za kipuuzi kama tecno.
Msiojua simu mnaona tecno ya bei kuwa ni simu ya kijanja.
Niliiuza tecno baada ya mwezi tu
 
Mbona mimi nina tecno Phantom 8 , mwaka na nusu sasa sijaona hayo makitu.
Nilinunua 800,000/=
Simu ya 800k haina fast charging, kioo LCD, Haina IP rating yoyote(ikitumbukia kwenye maji biashara imeisha), Soc yake 16nm, Camera haina OIS,


Aiseee hiyo hela ungehonga tu.... Kama mtu unazijua simu vzr huwezi kununua tecno.
 
Simu ya 800k haina fast charging, kioo LCD, Haina IP rating yoyote(ikitumbukia kwenye maji biashara imeisha), Soc yake 16nm, Camera haina OIS,


Aiseee hiyo hela ungehonga tu.... Kama mtu unazijua simu vzr huwezi kununua tecno.
mkuu nielezr kuhusu S8 Samsung
 
Uzi usiosindikizwa na picha huwa haonogi.HAka mimi ndio kananiweka mjini
20191122_090628.jpg
 
Back
Top Bottom