Tecno hata iwe ya bei gani ni tatizo tu

Tecno hata iwe ya bei gani ni tatizo tu

Imagine unanunua simu ya laki tatu na ishirini (320,000) halafu unakuta eti haina File Manager, eti u- download, kwenye notification unapokea vitu vya ajabu hata havieleweki.
MIMI LAST WEEK NILIENDA KARIAKOO,
KILA SIMU KALI NINAYOULIZIA
INAANZIA 400+k,

WAKATI NATOA HELA MFUKONI ILI NINUNUE SIMU AINA YA OPPO AU SAMSUNG AMBAZO NILIMWAMBIA YULE DADA ANIWASHIE NIZICHECK SPECIFICATIONS ZAKE,
GHAFLA SAUTI IKANIJIA KICHWANI, IKISEMA
"Kumbuka unadaiwa hela ya pango tangu Septemba,
Safari hii mwenye nyumba hatokuvumilia!!!"

HAPOHAPO,
NIKARUDISHA KIASI KINGINE CHA PESA MFUKONI,
NIKACHUKUA 180k NIKAMPA YULE DADA WA DUKANI-
NIKAMWAMBIA
"Nipatie TECNO Pouvoir 3 Air niwahi nyumbani."

AKANIPA,
NIKA_DOWNLOAD
-Gallery,
-File Manager,
-Notebook na
-Calender
(MAANA'KE HAVIKUWEPO KWENYE SIMU).

ND'O NAITUMIA HAPA,
KAZI YANGU NI KUPOKEA MA_NOTIFICATION KILA NIKIWASHA DATA.
 
NIKACHUKUA 180,000k NIKAMPA YULE DADA WA DUKANI-
NIKAMWAMBIA
"Nipatie TECNO Pouvoir 3 Air niwahi nyumbani."

AKANIPA,
NIKA_DOWNLOAD
-Gallery,
-File Manager,
-Notebook na
-Calender
(MAANA'KE HAVIKUWEPO KWENYE SIMU).

ND'O NAITUMIA HAPA,
KAZI YANGU NI KUPOKEA MA_NOTIFICATION KILA NIKIWASHA DATA.
pole sana mkuu,[emoji16][emoji16][emoji16]

i hope utajipanga tena ili ukaitoe ile 400 kwa awamu nyingine.
 
MIMI LAST WEEK NILIENDA KARIAKOO,
KILA SIMU KALI NINAYOULIZIA
INAANZIA 400+k,

WAKATI NATOA HELA MFUKONI ILI NINUNUE SIMU AINA YA OPPO AU SAMSUNG AMBAZO NILIMWAMBIA YULE DADA ANIWASHIE NIZICHECK SPECIFICATIONS ZAKE,
GHAFLA SAUTI IKANIJIA KICHWANI, IKISEMA
"Kumbuka unadaiwa hela ya pango tangu Septemba,
Safari hii mwenye nyumba hatokuvumilia!!!"

HAPOHAPO,
NIKARUDISHA KIASI KINGINE CHA PESA MFUKONI,
NIKACHUKUA 180k NIKAMPA YULE DADA WA DUKANI-
NIKAMWAMBIA
"Nipatie TECNO Pouvoir 3 Air niwahi nyumbani."

AKANIPA,
NIKA_DOWNLOAD
-Gallery,
-File Manager,
-Notebook na
-Calender
(MAANA'KE HAVIKUWEPO KWENYE SIMU).

ND'O NAITUMIA HAPA,
KAZI YANGU NI KUPOKEA MA_NOTIFICATION KILA NIKIWASHA DATA.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] aisee
 
TECNO labda phantom series na afadhali kidogo infinix
Hizi zingine ni takataka tu
 
Mbona mimi nina tecno Phantom 8 , mwaka na nusu sasa sijaona hayo makitu.
Nilinunua 800,000/=
Badala ya kununua tecno kwa laki nane bora ununue Huawei y7 pro 2019 au redmi note 8 au Motorola g7 plus
 
Back
Top Bottom