Tecno boom j8

Tecno boom j8

Jaman ni Simu nzuri sana IMA ram 2gb, rom16, camera13mp primary, secondary 5mp, battery 3000mhz, INA 4g network, ivi ni vitu vikubwa sana compare na tecno boom j7, mi naenda kununua lg kitu gani bwana.
 
Kwanini hawaweki Marshmallow hawa wazushi! Nimevunja screen Moto G yangu, naona ntahamia Tecno ikivunjika haiumi sana 😡
 
LG g2 ina 2gb ram, 32gb internal memory, camera yake pia ni 13 mega pixel lakini hii ina Optical Image Stabilisation (yani ukiwa unarekodi video simu wakati unatembea video aitashake) lakini megapixel hizo 13 za LG na Tecno ni vitu viwili tofauti maana cha muhimu ni sensor iliyotumika kwaiyo camera ya LG ni x1000 bora pia LG ina battery ya 3000mah na 4g tena Cat 4. Yani LG hiyo ya 2013 inaifunika hiyo Tecno ya 2016 kwenye kila sector.

Lakini kwa sababu wewe mpenzi wa Tecno nenda ukanunua hiyo substandard product.
 
Yani Mkuu utakuwa umefanya kosa kubwa sana yani moto g ni bonge moja la simu especially ile screen yake na Stock Android.. Tecno ni majanga auoni kila siku humu ndani matatizo wanapost wao tu...

Ram management ya hizi simu ni mbovu, optimization yake kwenye Android code mbovu, camera zao sub standard, updates sahau.
 
Jaman ni Simu nzuri sana IMA ram 2gb, rom16, camera13mp primary, secondary 5mp, battery 3000mhz, INA 4g network, ivi ni vitu vikubwa sana compare na tecno boom j7, mi naenda kununua lg kitu gani bwana.
Kwa wewe hiyo simu inakufaa, af usifananishe hyo simu na flagship kama g2

Labda unakipi cha kucompare hiyo boom 8 na g2?
Soc yenu tu kimeo, gpu mbovu shida tupu

Alafu unafikir hizo mp13 ndio zitatoa picha sawa na g2?
 
LG g2 ina 2gb ram, 32gb internal memory, camera yake pia ni 13 mega pixel lakini hii ina Optical Image Stabilisation (yani ukiwa unarekodi video simu wakati unatembea video aitashake) lakini megapixel hizo 13 za LG na Tecno ni vitu viwili tofauti maana cha muhimu ni sensor iliyotumika kwaiyo camera ya LG ni x1000 bora pia LG ina battery ya 3000mah na 4g tena Cat 4. Yani LG hiyo ya 2013 inaifunika hiyo Tecno ya 2016 kwenye kila sector.

Lakini kwa sababu wewe mpenzi wa Tecno nenda ukanunua hiyo substandard product.
Well said jamaa
 
Tecno boom j7 nilikuwa nzuri sana camera yake in a to a picha vzr Hivo j8 modified from j7 kwahiyo utakuwa nzuri sana
 
Embu tuwekee picha japo hata moja tuone maana nimeshika Camon c8 picha nusu nicheke nife alafu 13 megapixels
 
Back
Top Bottom