Technolojia ya kunasa SENENE (VIDEO)

Technolojia ya kunasa SENENE (VIDEO)

Mathias Byabato

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2010
Posts
1,055
Reaction score
781
Wadau hivi mnajua kuwa kuna tecnlojia ya kuvuna/kunasa senene ambao ni wadudu maarufu kwa baadhi ya makabila hapa nchini? tazama technolojia hii iliyobuniwa na watu ambao hawakupita darasani bali kwa kutumia harakati za maisha.

Unaombwa kutazama technolojia hii na harakati za biashara ya senene katika kipindi cha television leo saa 12:00 jioni kupitia CHANNEL TEN.katika kipindi cha barua kutoka kanda ya ziwa.

ambao hawataona nitawawekea hapa jamvini

Byabato
Host
 
Hakuna video hiyo hapa mzee. Vipi na ile ya kunasa kumbi kumbi
 
alaa kumbe nilikuwa sijasoma vizuri kumbe niwewe uliepost haya tutacheki mkuu..
 
Wadau hivi mnajua kuwa kuna tecnlojia ya kuvuna/kunasa senene ambao ni wadudu maarufu kwa baadhi ya makabila hapa nchini? tazama technolojia hii iliyobuniwa na watu ambao hawakupita darasani bali kwa kutumia harakati za maisha.

Unaombwa kutazama technolojia hii na harakati za biashara ya senene katika kipindi cha television leo saa 12:00 jioni kupitia CHANNEL TEN.katika kipindi cha barua kutoka kanda ya ziwa.

ambao hawataona nitawawekea hapa jamvini

Byabato
Host

Nimekiona kipindi na kweli wamejitahidi kubuni mitambo hiyo kimenikumbusha mbali sana enzi hizo nipo bk,ila sauti ndio imekuwa tatizo!mala nyingi sauti ya wale uliokuwa ukiwahoji hawakuweza kuckika hata kidogo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom