Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
- Thread starter
-
- #41
kwanza inatakiwa kua enabled, pili SMS inahitaji SMS PLAN tu, pia unaweza track kwa web ya avast hii inahitaji internet kuweza kutuma commands
Ila Sidhan Apple Device kama huez toa hyo ktu........ Ukiweka IPSW mpyaaa KItu Ndo Bas Tenaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.... So Still Solution For That z Easy as 123........ android nayo Uki wipe nayo bas tenaaaaaaa......
that makes me choose ios over android........ but still there z away kaka.... android tena...!! ingekua ios au windows ningeghairi ila android unakaka kuniambia hata niweke custom roms itabaki??? i dont think sooooooooooushaaambiwa avast anti-theft rooted inakaa kwenye system files hivo hata u-wipe vp ni sawa na zero
that makes me choose ios over android........ but still there z away kaka.... android tena...!! ingekua ios au windows ningeghairi ila android unakaka kuniambia hata niweke custom roms itabaki??? i dont think soooooooooo
Tema mate chini. Hiyo issue unakamatwa kiulaini kama kuku vile. Sasa hv ukinunua kitu cha wizi ni issue.Sijawahi sikia mtu kafanikiwa through hii kitu. Police yetu bado wako chini sana katika mambo ya Technology. Ila ngoja mkuu hapo atuletee report baadae...
Mkuu hii kitu ipo namshukuru mungu amenisaidia sana maana jana niipata s4 yangu niliyokuwa nimeibiwa juzi pale Ubungo nilikuwa nashuka tu kwenye dala2 saa 11 alfajiri ili kupanda basi za mikoani jamaa walinizunguka mmoja kajarib kunichomoa wallet kugeuka nyuma sim sina ktk mfuko wa shati nikajua imekwenda nikapanda basi nikaondoka nafika Morogoro km saa 4 hivi nikapata mes ktk sim yangu nyingine niliyobypass no ya sim inayotumika ktk sim yangu ilibidi nishuke pale Morogoro nianze kufuatilia nikajarib kutuma tigopesa nikapata jina la yule bwana nikapanda hewani kumueleza akashangaa kishenzi kadai kuna washikaji wamekuja kwake kuijarib inshort niliinstal app inaitwa eset mobile security hii unasajili line yako tu mtu akitoa yako akaweka ingine sim inajibrock sametime inatuma taarifa ktk no yako uliyobypass pasipo yeye kujua no anayotumia na serial no ya sim yako pia s4 nayo ina program ya sim change alert hivyo ikabidi siku hiyo nirudi dar jana nikakutana naye jamaa kiulafiki kadai mdogo wake aliokota akamuuzia kwa 180000 ilibidi nimtoe 140000 maana alikuwa ni mjeda yuko pale mbagala kambi ya jeshi akanikabidhi sim yangu lkn naona hao vibaka wanawatumia hao wajeda ili wawalinde ktk dili zao