Technology za Mwafrika kupambana na Mwafrika mwenzake Mwenye uchu wa ngono

MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Jul 22, 2011
3,763
5,591
3526329_ad184630935_jpegc0c0dde6b436238cc86ec1781877e489

ad_184631385-large_trans++gsaO8O78rhmZrDxTlQBjdFFzWR4-8YeYq5da7xdvRAs.jpg

Hii inaitwa pasi ya maziwa.
Binti wa kiafrika akipigwa hii kifua kinakuwa kama mwanaume hata akiwa na miaka 30.
Lengo la hii technolojia ni kuzua Maziwa/nyonyo zisichomoke ili asitamaniwe asije kubakwa au kupewa mimba akiwa bado kigori.
Breast-ironing: The absurd African practice to prevent rape
Breast ironing: What is it and why do MPs want to ban it?
 
3526329_ad184630935_jpegc0c0dde6b436238cc86ec1781877e489

Hii inaitwa pasi ya maziwa.
Binti wa kiafrika akipigwa hii kifua kinakuwa kama mwanaume hata akiwa na miaka 30.
Lengo la hii technolojia ni kuzua Maziwa/nyonyo zisichomoke ili asitamaniwe asije kubakwa au kupewa mimba akiwa bado kigori.
Ujinga Tu huo ya nn ss
 
MSEZA MKULU kuna shida hapa
 
KWELI chief,
Inakadiliwa watoto wa kike zaidi ya 3.8Mil wamefanyiwa hii kitu according to UN, na Kuna NGO zinapambana kuwaelimisha wazazi na jamii mbalimbali kuepukana na hii tabia.
Imeshamili Cameroon,Benini,Ivory coast na nchi nyingi afrika (Central and west africa)
aQZfeKrjKTyHOAe-800x450-noPad.jpg
 
Huo ni ujinga tu! Kuna namna ukijua kuwalea watoto na ukawa nao bega kwa bega wala hawawezi kuingia kwenye shida iwayo yote,na ikumbukwe kwamba hupaswi kuwazuia kushiriki sex pale watapokua na umri sahihi,mihemko ya mwili itawalazimisha kutenda,ila kama umewalea vyema kama nisemavyo basi watatenda salama bila madhara
 
hii nimeshuhudia livi kuna house girl kutoka singida anaishi nyumba ya jirani hapa yani tunyonyo tudogo sana mpaka inakera....
 
HII ni upuuzi mkubwa sana, najitoa mhanga kuwa mmoja kati ya wanaopiga vita kitu kama HII mshana jr utaniunga mkono.

Hapo nchi jirani Kenya kuna wazazi wanawapa binti zao condoms/vidonge vya kuzuia mimba waende navyo skuli ili kuwakinga na mimba SIYO UKIMWI!!, hapo ni hatari sana.

Wazazi tumekuwa busy Sanaa na HAYA ndio matokeo yake. Nyonyo kitakuwepo au kuwa kubwa siyo kinga ya binti kuwa na mshikaji.

*mniunge mkono!.
 
Kuna watu wanalalamika kwamba dini ziliita utamaduni wetu kuwa ni ushenzi.
 
Back
Top Bottom