Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,609
- 8,298
Ujinga UPI kiongoziAcha ujinga
Ujinga UPI kiongoziAcha ujinga
Upuuzi upo wapi hapo?? Mimi na wewe nani anayeandika pumbaHuu ni upuuzi sasa unaandika.
Jamaa nimeona IQ ndogo usi reply hata threads zakeUjinga UPI kiongozi
Automation tayari inaondoa low hanging fruit jobs. 5 years ago kuwa copywriter ilikuwa deal. Leo? AI no click policy ilinipokonya kazi last year.Ni kweli everything now is automated lakini kupitia automation new jobs will be created and old system will be destroyed
Soko la Afrika ni Zuri na rahisi. Sema ni low ticket kwa hiyo kaza kwenye benefits na deep problems. Kuna vitu navitengeneza ntaleta mrejeshoUnatazama mambo kwa dimension ya kukata tamaa Sana.
Africa tuna mchango adhimu Sana.
1. Malighafi ya kufanikisha tech.
2. Soko la hizo tech.
Kweli mkuu ujinga ni kutegemea vya past na kutokukubali ku adopt new technology kwasababu ya past techAutomation tayari inaondoa low hanging fruit jobs. 5 years ago kuwa copywriter ilikuwa deal. Leo? AI no click policy ilinipokonya kazi last year.
Tufocus kwenye jobs being created. It's true that people who use AI will soon replace people who don't.
Production ya chakula haiwezi kuwa replaced lakini mbeleni machine zitakazo simplify kazi nazo kwenye kilimo zitakuwepo labour force itapungua sana lakini landlords lazima wabenefit kwenye technologyWatu wamekikimbia kilimo, ila miaka ya mbele ardhi itakuwa deal sana haijalishi eneo litakalo kuwepo. Hizi automation level inayo enda zitakuwa na uwezo wa kujirekebisha zenyewe na kujiupdate zenyewe, bila msaada wa binadamu. Nilimsikiliza Mark Zuckerberg juzi akifanyiwa Interview wanaplan ya kupunguza Madeveloper na kuacha kazi nyingi zifanywe na AI na anadai kuna kampuni nyingine zimeshaanza kuimplement hili.
Sijakataa ndio maana nimesema kilimo na ardhi vitakuwa deal sana.Maendeleo ya AI yanatisha yaani mpaka walio gundua wanaogopa .Elon Musk mwenyewe alisema kwa wanao tengeneza hizi robot, wasizi update kupitia online kwani zinaweza kuwa hacked na kupewa instructions nyingine zenye nia ya kuharibu.Production ya chakula haiwezi kuwa replaced lakini mbeleni machine zitakazo simplify kazi nazo kwenye kilimo zitakuwepo labour force itapungua sana lakini landlords lazima wabenefit kwenye technology
NALA is glorified M-PesaSouth Africa - Ubuntu Linux
Kenya- Mpesa
Tanzania - Nala
Wapo vizuri aiseNALA is glorified M-Pesa