Technology Yetu miaka 10 ijayo je tutakuwa wapi?

Technology Yetu miaka 10 ijayo je tutakuwa wapi?

Utamu uko hapa, dunia itazidi kuwa kasi sana
1000087881.jpg
 
Wadau wa technology:
  • Software
  • Robotics
  • AR & VR technology
  • Mobile Computing
  • Tech in Health
Nk.
Predictors (Pattern recognitors) wa tujadili next gen tech
Sio teknolojia yetu sema teknolojia yao maana katika vyote ulivyo andika hapa hakuna hata kimoja Afrika kinafanyiwa kazi.

Ni wazungu,wachina,wajapan,wakorea ndio wanao tazamwa sisi wengine tuendelee kucheza ngoma,ngono kwa sana,visungura ndio usiseme,betting kuteka na kuua wapinzani
 
Sio teknolojia yetu sema teknolojia yao maana katika vyote ulivyo andika hapa hakuna hata kimoja Afrika kinafanyiwa kazi.

Ni wazungu,wachina,wajapan,wakorea ndio wanao tazama sisi wengine tuendelee kucheza ngoma,ngono kwa sana,visungura ndio usiseme,betting kuteka na kuua wapinzani
😂lakini mkuu Africa tunaweza
 
Unatazama mambo kwa dimension ya kukata tamaa Sana.
Africa tuna mchango adhimu Sana.
1. Malighafi ya kufanikisha tech.
2. Soko la hizo tech.
 
Ni mataifa gani Afrika yana ongoza katika hizi teknolojia ?
Software
Robotics
AR & VR technology
Mobile Computing
Tech in Health
South Africa - Ubuntu Linux
Kenya- Mpesa
Tanzania - Nala
 
Back
Top Bottom