Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,130
- 48,862
Kumbuka mimi ni wa Kwamtogole.
Ndo tatizo lilipo hapo.......kama ajashiba anaongezea sumu a k a chips yaiDu mtu anatoka kukata kilo mbili za pork na bapa.
no..ni wachache sana wenye fikra izo mgando...
Hii shughuli hud fanyika kambini mama yako hawezi kukufunza haya
Kwahiyo zile pangaboi za kwenye vigoma vya uruguay huwa zina apply kitandani!!??Kumbuka mimi ni wa Kwamtogole.
Tufanye nini ili mila hii isipotee
Kuna wakati tunaogopa kuitwa ivo kwaiyo tunakufa na technologyno..ni wachache sana wenye fikra izo mgando...
Ahahahaaaaaa yaan huyo jamaa kanichekesha sana, sijui kawaza nini jamani [emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha pale kiuno feni beneficiary anapoingiliwa maslahi yake
Tatizo wanawake/mabinti wa siku hizi mna/wadeka sana. Kuanzia kwenye eating habits unakuta mdada eti anajidai ye' ni mtu wa barger, chips + kuku au mishkaki, pizzer etc etc matokeo yake mnanenepa miili inawaelemea mnashindwa kukatika.Matatizo wanaume wengi sikuhizi uzito unaanzia kilo 90-120 na anataka apaishwe. Balimi hazijawahi kumwacha mtu salama.
Mkuu usiwe unachangia mada kwa kusoma heading pekeeKukata kiuno hakujawahi kumuacha mtu salama..
Kiuno kipi unachoongelea kwanza, kama vile vya kwenye video ya chura ya snura au kama Asa Akira akiwa 6*6..!!
Mkuu usiwe unachangia mada kwa kusoma heading pekee
Si ndiyo maana nilisema ukijua kuzungusha kuona ni kama umekwenda gym na weight utani controlTatizo wanawake/mabinti wa siku hizi mna/wadeka sana. Kuanzia kwenye eating habits unakuta mdada eti anajidai ye' ni mtu wa barger, chips + kuku au mishkaki, pizzer etc etc matokeo yake mnanenepa miili inawaelemea mnashindwa kukatika.
Lakini bibi wasichana na wanawake wa kizazi hiki mnashindana kujiremba. Yaani mnawekeza sana kwenye urembo hadi kusahau kama kuna kuwekeza kwenye viuno vya kitandani.
Mi huwa nachukia sana kwa mfano naenda kupiga show najituma balaa alafa unakuta mwanamke kajilalia zake anaskilizia kama anasoma gazeti vile yaani naweza mtemea mate usoni sababu ananichosha bure.
Shida ndio inakuja pale ambapo wanawake wa siku hizi na wadada wanakimbizana sana na urembo/kujiremba huku wakisahau hili swala nyeti la chumbani.Si ndiyo maana nilisema ukijua kuzungusha kuona ni kama umekwenda gym na weight utani control
hahahaha