'Technically' nina wasiwasi na Simba SC kupata Matokeo CAFCC Final huko New Amaan Stadium Zanzibar

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,006
Reaction score
126,388
Kwanini?

1. Tayari Saikolojia ya Wachezaji wa Simba SC iko chini kwani wengi Wao baada ya Mechi ya Kwanza Morocco kumalizika na hata majuzi walivyokuwa wakirejea Uwanja wa Ndege JNIA walikuwa wakisema Berkane FC watakiona cha Moto kwa Mkapa kwani Wao wakijua tu wanacheza kwa Mkapa huwa wanakuwa na Morali ambayo haielezeki.

2. Kocha Fadlu Davis na Benchi la Ufundi la Simba SC walikuwa tayari na Maandalizi ya Uwanja wa Mkapa ambao wanaujua vyema kuliko wa Amaan Zanzibar ambao huutumia kwa mara chache.

3. Viongozi wa Simba SC pamoja na wa Serikalini Kiufundi wamechangia mno kuharibu Saikolojia ya Wachezaji wa Simba SC kwa kuonyesha kuwa hata Wao hawautaki / hawakuutaka Uwanja wa Amaan Zanzibar kwa kuwa busy kufanya Ushawishi wa nguvu Kubwa CAF pamoja na Matamko ya kila aina ili tu CAF waruhusu Mechi ipigwe kwa Mkapa Dar es Salaam Tanzania.

4. Suala / Sakata la Uwanja limechelewesha Timu kufanya Maandalizi ya Kimkakati (ya Ndani na Njema) kuuendea huo Mchezo na kwa ambao kidogo tulishawahi Kutumika katika Maandalizi ya Kimafia ya Mechi za Kimataifa (hasa za Simba SC msimu wa 2012/2013) tuna wasiwasi mno.

5. Kipaumbele cha Uongozi wa Simba SC ulikuwa ni kupata Mapato ya Kukufuru kama Mechi ingechezwa kwa Mkapa Dar es Salaam (Tanzania Bara) na hakikuwa kuiandaa Timu vyema.

6. Sina uhakika kama Wachezaji wote wa Simba SC waliweza kuusoma Uwezo na Udhaifu wa Berkane FC zaidi ya Wao wote Kushangilia baada ya kufungwa Goli 2 kwa 0 (ambazo GENTAMYCINE naziita ni za Kizembe mno) kwa Wachezaji kukosa Umakini na kutaka kuonyesha kuwa wako juu ya Berkane FC kiuwezo wakati Kiuhalisia Watu wote wa Mpira tunajua kuwa Simba SC (pamoja na kufika CAFCC Final) bado ni Underdog mbele ya Berkane FC.

7. Wana Simba SC (kuanzia Msemaji), Uongozi na hata baadhi ya Watu katika Benchi la Ufundi kukataa kupokea USHAURI KUNTU kutoka kwa Wadau. Kwa mfano GENTAMYCINE nilihoji sana hapa kuwa kwanini Kiungo Fabrice Ngoma ambaye ni Slow na anakabia Macho anaanza mbele ya Kiungo Deborah Fernandez ambaye ana Vitu vingi vya ziada nikaishia Kudhihakiwa na Kutukanwa.

Siku zote (Watu wa Mpira na tuliocheza Mpira hata wa Ndondo na wa Mashuleni au Vyuoni) tunajua kuwa ukiona tu Kiungo wa Ukabaji kama Yusuf Kagoma anahangaika sana huku muda mwingine akiamua Kufika (kucheza Rafu) jua ya kwenda Kiungo wa Ushambuliaji Fabrice Ngoma hatimizi Majukumu yake, ila wana Simba SC wengi kwakuwa tayari Masikioni na Machoni mwao wana Mahaba na Fabrice Ngoma kamwe hawawezi kuona Mapungufu yake makubwa ambayo kwa nyakati nyingi Huigharimu Timu.

Yangu GENTAMYCINE ni haya tu na Karibuni katika Kunitukana kama kawaida yenu hasa mkiambiwa Ukweli ila nina wasiwasi mno na hii Mechi ya Fainali ya Pili Amaan Stadium Zanzibar kama tutashinda ila kwa Berkane FC ambao nimewaona Kiufundi nina uhakika kuwa bado hata hiyo Mechi watatufunga na hata kama Simba SC tushinda basi ni kwa Goli Moja (1) tu ambalo pia litakuwa ni Furaha kwao kwani watakuwa Mabingwa wa CAFCC 2024/2025.
 
Kwa viongozi weledi na wanaojua mpira hawakupaswa kushindana na CAF... Kuna tatizo kubwa ndanj ya uongozi wa simba ni aidha kalia aliwadanganya au MO.... Haiwezekani watu wawe busy kudai mahali pakuchezea bila kufanya maandalizi dhabiti juu ya mchezo husika...., wamezoea mpira wa kiswahili huu wa Karia!!.
Trust me kama hii mechi msimamizi mkuu angekuwa bodi ya ligi au tff basi simba wangegomea mechi😂😂, CAF ina timu ya wataalam wa viwanja wamewaambiwa uwanja hauwezi kutumika afu anatokea magori na propaganda zake za kipumbavu eti ataenda Fifa😂😂 dah...!!.

Timu ipo hoi na hili la kutocheza kwa mkapa ndio limewamaliza kisaikolojia coz waliaminishwa na waganga wao kila kitu kimeishia pale....!!. Mbungi inapigwa kizimkazi njoo na mafuta yenu ya upako muone 😂😂🚶
 
Unaumia ukiwa wapi
 
Ukiwa serious unatema madini tupu,hata Jemedari Saidi itakuwa anaibia vitu kwako.
 
Umechambua vizuri mno. Point tupu.
 
wewe sometime una akili mingi
 
Kwa viongozi weledi na wanaojua mpira hawakupaswa kushindana na CAF... Kuna tatizo kubwa ndanj ya uongozi wa simba ni aidha kalia aliwadanganya au MO.... Haiwezekani watu wawe busy kudai mahali pakuchezea bila kufanya maandalizi dhabiti juu ya mchezo husika...., wamezoea mpira wa kiswahili huu wa Karia!!.
Trust me kama hii mechi msimamizi mkuu angekuwa bodi ya ligi au tff basi simba wangegomea mechi😂😂, CAF ina timu ya wataalam wa viwanja wamewaambiwa uwanja hauwezi kutumika afu anatokea magori na propaganda zake za kipumbavu eti ataenda Fifa😂😂 dah...!!.

Timu ipo hoi na hili la kutocheza kwa mkapa ndio limewamaliza kisaikolojia coz waliaminishwa na waganga wao kila kitu kimeishia pale....!!. Mbungi inapigwa kizimkazi njoo na mafuta yenu ya upako muone 😂😂🚶
Umeandika kishabiki bila kua na akili. Karne ya artificial intelligence unawaza uganga ...Mihemko ya watu mafukara kama wewe Iko mingi nchini. Tafuteni msaada.
 
Huu ndio umbumbu wenyewe na nyie ndio mitaji ya viongozi wajinga!!. Ushindwi kuumia weqe uliyekuwa unalilia kwa mkapa niumie mie niliyekuwa nashangilia goma kupigwa pale Amani 😂😂
Simba bingwa hata mechi irudiwe morocco
 
Umeandika kishabiki bila kua na akili. Karne ya artificial intelligence unawaza uganga ...Mihemko ya watu mafukara kama wewe Iko mingi nchini. Tafuteni msaada.
Nikishaacha kukujibu kitambo kukupuuza .... Usinijibu pia ..... Ushogereeeeee.
 
Sawa kapuku. Hapo sibabaishwi na makapuku kama wewe. Kaa kwenye ignored list ewe kapuku Hadi siku ambayo utakua na akili.
 
Kwanini?

1. Tayari Saikolojia ya Wachezaji wa Simba SC iko chini kwani wengi Wao baada ya Mechi ya Kwanza Morocco kumalizika na hata majuzi walivyokuwa wakirejea Uwanja wa Ndege JNIA walikuwa wakisema Berkane FC watakiona cha Moto kwa Mkapa kwani Wao wakijua tu wanacheza kwa Mkapa huwa wanakuwa na Morali ambayo haielezeki.

2. Kocha Fadlu Davis na Benchi la Ufundi la Simba SC walikuwa tayari na Maandalizi ya Uwanja wa Mkapa ambao wanaujua vyema kuliko wa Amaan Zanzibar ambao huutumia kwa mara chache.

3. Viongozi wa Simba SC pamoja na wa Serikalini Kiufundi wamechangia mno kuharibu Saikolojia ya Wachezaji wa Simba SC kwa kuonyesha kuwa hata Wao hawautaki / hawakuutaka Uwanja wa Amaan Zanzibar kwa kuwa busy kufanya Ushawishi wa nguvu Kubwa CAF pamoja na Matamko ya kila aina ili tu CAF waruhusu Mechi ipigwe kwa Mkapa Dar es Salaam Tanzania.

4. Suala / Sakata la Uwanja limechelewesha Timu kufanya Maandalizi ya Kimkakati (ya Ndani na Njema) kuuendea huo Mchezo na kwa ambao kidogo tulishawahi Kutumika katika Maandalizi ya Kimafia ya Mechi za Kimataifa (hasa za Simba SC msimu wa 2012/2013) tuna wasiwasi mno.

5. Kipaumbele cha Uongozi wa Simba SC ulikuwa ni kupata Mapato ya Kukufuru kama Mechi ingechezwa kwa Mkapa Dar es Salaam (Tanzania Bara) na hakikuwa kuiandaa Timu vyema.

6. Sina uhakika kama Wachezaji wote wa Simba SC waliweza kuusoma Uwezo na Udhaifu wa Berkane FC zaidi ya Wao wote Kushangilia baada ya kufungwa Goli 2 kwa 0 (ambazo GENTAMYCINE naziita ni za Kizembe mno) kwa Wachezaji kukosa Umakini na kutaka kuonyesha kuwa wako juu ya Berkane FC kiuwezo wakati Kiuhalisia Watu wote wa Mpira tunajua kuwa Simba SC (pamoja na kufika CAFCC Final) bado ni Underdog mbele ya Berkane FC.

7. Wana Simba SC (kuanzia Msemaji), Uongozi na hata baadhi ya Watu katika Benchi la Ufundi kukataa kupokea USHAURI KUNTU kutoka kwa Wadau. Kwa mfano GENTAMYCINE nilihoji sana hapa kuwa kwanini Kiungo Fabrice Ngoma ambaye ni Slow na anakabia Macho anaanza mbele ya Kiungo Deborah Fernandez ambaye ana Vitu vingi vya ziada nikaishia Kudhihakiwa na Kutukanwa.

Siku zote (Watu wa Mpira na tuliocheza Mpira hata wa Ndondo na wa Mashuleni au Vyuoni) tunajua kuwa ukiona tu Kiungo wa Ukabaji kama Yusuf Kagoma anahangaika sana huku muda mwingine akiamua Kufika (kucheza Rafu) jua ya kwenda Kiungo wa Ushambuliaji Fabrice Ngoma hatimizi Majukumu yake, ila wana Simba SC wengi kwakuwa tayari Masikioni na Machoni mwao wana Mahaba na Fabrice Ngoma kamwe hawawezi kuona Mapungufu yake makubwa ambayo kwa nyakati nyingi Huigharimu Timu.

Yangu GENTAMYCINE ni haya tu na Karibuni katika Kunitukana kama kawaida yenu hasa mkiambiwa Ukweli ila nina wasiwasi mno na hii Mechi ya Fainali ya Pili Amaan Stadium Zanzibar kama tutashinda ila kwa Berkane FC ambao nimewaona Kiufundi nina uhakika kuwa bado hata hiyo Mechi watatufunga na hata kama Simba SC tushinda basi ni kwa Goli Moja (1) tu ambalo pia litakuwa ni Furaha kwao kwani watakuwa Mabingwa wa CAFCC 2024/2025.
Genta ni mmoja tu humu ndani, Akili ndogo hawawezi kukuelewa.
 
Back
Top Bottom