MiniActivist
Member
- Dec 9, 2011
- 67
- 47
Pole arifu
China kuna watz wengi sana wafanyabiashara waaminifu tu,kwanini hampendi kuwatumia hao?Nimekaa uchina zaidi ya ten years,asikwambie mtu wanaumiza kichwa hakuna mfano, watakuzungushaaa,at the end of the day watakuambia "MEI BAN FA".
1. Check na bios kwa SATA Mode.
2. Check na RAM.
3. Check na HDD kwa corrupt boot sector.
Nawakilisha.
1. Check na bios kwa SATA Mode.
2. Check na RAM.
3. Check na HDD kwa corrupt boot sector.
Nawakilisha.
Uliformat hdd? if yes tafuta unformat make sure una space external same na hdd yako kabla huja-perform hii task.