JE NIMEUMIZWA na WACHINA - imeshamtokea mtu wa JF

newmzalendo

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
1,378
550
JE niemumizwa na wAChina,

nimewasialiana na kampuni ya kichinav(electronics manufacturer) ili wanitumie sample ya kitu,thamani ya dola 145 and DHL freight to tz dola 40 jumla nimetuma dola 185.

walinipa Western union ,jina ni la mtu,na wakanipa opition ya TT transfer kwa jinal la hiyo kampuni,na account number na details zote.

nimefanya background checks online,nikaona ni gold partners ktk alibaba.com,na website nyingine.
sasa baada ya kutuma tu,(within 24hrs)wamenitumia DHL tracking number,nimetrack on dhl website,namba haipo.

pili wamenitumia email kuwa wame ni invoice dola 30 ili inipunguzie gharama za customs (TRA) hapa bongo,wakati mimi sikuwaambia wapunguze ili nikwepe kodi,kwani nilichoagiza najua hakina kodi.
nimetuma emai hawajajibu,before kutuma pesa email ilikuwa inajibiwa withing hrs.

Je kuna mtu aliyewahi kupata msuko suko kama huu,if yes how was it handled.
nimechek western union website,transfer tracking number haionekani ktk system ya western union niliyotuma

kampuni inaitwa Ouxiang International Co.Ltd
http://www.oxiang.com.cn/contact.asp

ntatoa feed back after 10hrs if watajibu email yangu
UPDATES-18 TH MAY
HATIMAYE NIMEFANIKIWA DHL TRACKING NUMBER,SASA NASUBIRI NIONE PARCLE NI FEKI OR FEKI ORIGNINAL NILIYOAGIZIA.

Processed at Shenzhen - China, People's Republic Sign up for shipment notifications Tuesday, May 18, 2010 at 22:03
Origin Service Area:
arrow.gif
Shenzhen - China, People's Republic
Destination Service Area:
arrow.gif
Dar Es Salaam - Tanzania

Tuesday, May 18, 2010 Location Time 2 Processed at Shenzhen - China, People's Republic Shenzhen - China, People's Republic 22:03

1 Shipment picked up Shenzhen - China, People's Republic 16:33

Hide Details
 
hapa mchina agent alibaba.com,mkuu nenda kashushie na bia tu hivo vidola hesabu vishakuwa marehemu.na ukipata ndio watakuja kukuingiza mkenge mkubwa zaidi.
 
Pole!!!! Kuingizwa mjini na hawa chinks mimi naona haijatulia .....au tuseme ni aibu!
 
Usifanye kosa kama hilo Mkuu. Kama hawajibu basi wasiliana na ALIBABA moja kwa moja na waambie yaliyokukuta na kuweka documents zako zote. Pia kama sikosei kuna sehemu za kuweka comment zako ili wengine wasinunue kwao tena. Ngoja niwaangalie na nione comment kwao zikoje. Muwe waangalifu kuangalia kama jamaa wana sifa za udokozi. Na kama ikipita wiki mbili hujapata kitu basi na ukiwasiliana na ALIBABA wakae kimya basi WASILIBE. Ila vuta subira maana wakati mwingine DHL wanachelewa saaana kuleta vitu. Pia jaribu kuangalia kwa hao DHL kama jina lako lipo. Wakati mwingine inaweza kuwa makosa.
 
Usije ukawa umeingia kwenye anga za Wanigeria. Pole sana mkuu. Vuta subira yawezekana mzigo uko njiani.
 
Wachina ni wezi sana. Juzi tu nilikuwa naongea na best wangu akaniambia katika dept yake ndiye aliyeaminiwa kuverify invoices zote na kuhakikisha ziko sawa kabla ya kuidhinisha malipo. Akaniambia katika kuzipitia hizi invoices kuna badhi akaona kama jamaa wamecharge mara mbili na kuweka kitu walikiita "other costs" sasa akaiomba nami nizipitie ili kuhakikisha alichoona yeye ni sawa. Baada ya kuzipitia nikaona ni kweli jamaa wamedouble charge katika baadhi ya invoices na pia nikamwambia wawe more specific kwenye hizo "other costs" ili kuonyesha ni viti gani. Basi akawapigia simu na kukubali kweli wamecharge mara wakadai ni kwa makosa na hizo other costs wakadai pia ni makosa hivyo wakaziondoa. Hapo kampuni iliokoa karibu $50,000. Mkifanya biashara na Wachina muwe waangalifu mno hawa jamaa si wa kuwaamini hata kidogo ni matapeli wa hali juu.
 
natoa Updates za wachina,
wamenitumia email ya kunipoza kuwa wanatumia agent,kwani walinipa dhl tracking number fasta nilipocheki nikaona haipo on dhl web system.
sehemu ya email ni hii hapa

Don't worry,no such fast online,we just send goods to shipping agent today,maybe will changed the tracking number,don't worry.

sasa wasi upo ktk hizi dont worry,zipo mbili ktk sentensi moja,let me wait kama wakuu mlivyoshauri,
 
Kama u mwepesi wa kupanick kiasi hicho kwa nini unajaribu kufanya biashara na watu usiowaamini?tatizo Watanzania wenzangu tunachukua ujumla katika kila kitu.Sio wachina wote ni matapeli,wadanganyifu etc.
Usahuri:kama umewaamini kiasi cha kuwatumia fedha endelea kufanya hivyo.waamini,weka timeline ya wewe kuvunja uaminifu wako.either mwezi mmoja etc.
Baada ya hapo basi vunja huo uaminifu.Kumbuka TRUST is two way street!don't provoke them.
natoa Updates za wachina,
wamenitumia email ya kunipoza kuwa wanatumia agent,kwani walinipa dhl tracking number fasta nilipocheki nikaona haipo on dhl web system.
sehemu ya email ni hii hapa

Dear Dan,

Don't worry,no such fast online,we just send goods to shipping agent today,maybe will changed the tracking number,don't worry.

sasa wasi upo ktk hizi dont worry,zipo mbili ktk sentensi moja,let me wait kama wakuu mlivyoshauri,
 
Hivyo ndy biashara inavyoenda kaka
Umeshathubutu! hivyo endelea kungoja. Kuibiwa kupo, nikujihadhari tu. Ukiogopa kupoteza ni vigumu kupata.
 
Wachina ni wezi sana. Juzi tu nilikuwa naongea na best wangu akaniambia katika dept yake ndiye aliyeaminiwa kuverify invoices zote na kuhakikisha ziko sawa kabla ya kuidhinisha malipo. Akaniambia katika kuzipitia hizi invoices kuna badhi akaona kama jamaa wamecharge mara mbili na kuweka kitu walikiita "other costs" sasa akaiomba nami nizipitie ili kuhakikisha alichoona yeye ni sawa. Baada ya kuzipitia nikaona ni kweli jamaa wamedouble charge katika baadhi ya invoices na pia nikamwambia wawe more specific kwenye hizo "other costs" ili kuonyesha ni viti gani. Basi akawapigia simu na kukubali kweli wamecharge mara wakadai ni kwa makosa na hizo other costs wakadai pia ni makosa hivyo wakaziondoa. Hapo kampuni iliokoa karibu $50,000. Mkifanya biashara na Wachina muwe waangalifu mno hawa jamaa si wa kuwaamini hata kidogo ni matapeli wa hali juu.

Mkuu BAK nafikiri mara nyingi biashara za internet ukiachia nchi za magharibi huwa zinahitaji umakini sana. Kuna jamaa yangu alinunua gari kwenye internet toka Japan kwa bei aliyoiona online na kutuma request wakamtumia details kwa bei ile ile. Alichofanya akasema hatatuma pesa yote akatuma nusu jamaa wakamtumia invoice ya pesa walizopokea na chini wakaonesha pesa ambazo anatakiwa kumalizia ni sawa na bei ya gari, yaani kama hajalipa kitu. Jamaa alikuwa mbogo, kuwapigia simu akawaambia amecancel ununuzi wamrudushie pesa kwa kuwa bei aliyoiona na waliyokubaliana siyo. Ikabidi jamaa wamtake radhi na kumwambia walikosea.
 
Kwa muda kama miaka mitatu nimekuwa nikifanya biashara na Wachina, na hata siku moja hawajaniangusha. Kuhusu tracking number subiri muda wa siku hata kama 2 utaiona kwenye website. Kama unataka nikupatia contacts za huko China ninaofanya nao biashara nitumie PM
 
Pole arifu
China kuna watz wengi sana wafanyabiashara waaminifu tu,kwanini hampendi kuwatumia hao?Nimekaa uchina zaidi ya ten years,asikwambie mtu wanaumiza kichwa hakuna mfano, watakuzungushaaa,at the end of the day watakuambia "MEI BAN FA".
 
thanks kwa kunipa moyo,wameniambia kuwa ipo kwa agent wao ,then yeye atapeleka dhl,after 2days nicheki ktk dhl website,:)
 
Pole arifu
China kuna watz wengi sana wafanyabiashara waaminifu tu,kwanini hampendi kuwatumia hao?Nimekaa uchina zaidi ya ten years,asikwambie mtu wanaumiza kichwa hakuna mfano, watakuzungushaaa,at the end of the day watakuambia "MEI BAN FA".
hiyo mei ban fa ndio nini,au ndo unatuonyesha kuwa kichina kinapanda ,:angry:
 
Back
Top Bottom